Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuweke propaganda pembeni, tuelekeze nguvu kujenga Taifa

Tuliambiwa kwamba Abdulrahman Kinana ni mtu hatari sana kwa mbinu za kisiasa, anaweza kuviyumbisha vyama vya upinzani na hata kuvifuta kabisa. Dalili zimeanza kujitokeza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

RC Gama: Tuweke siasa pembeni kuisaidia Panone

MKUU wa Mkoa (RC), wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, amewataka wapenzi wa soka mkoani hapa kuweka siasa pembeni na badala yake waungane kuisaidia Klabu Bingwa ya Mkoa, Panone FC inayojiandaa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wao wakiitazama Ikulu, sisi tulitazame taifa huku tukiweka uchama pembeni

Kwa hali ilivyo sasa ninaona jotoridi ikizidi kupanda katika vyama vya siasa, hasa ukizingatia michakato ya ndani ya vyama ya kuteua watakaopewa dhamana ya kugombea nafasi za udiwani, ubunge na Urais. Kwa kiasi kikubwa kabisa, naona Wananchi wakigubikwa na mjadala wa nani ni nani na huenda nani atapata nini

 

5 years ago

Michuzi

ASASI ZA KIRAIA ZAUNGANA WILAYANI ILALA KWA AJILI YA KUJENGA NGUVU YA PAMOJA ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI

 Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii

KUENDELEA kukithiri kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi wilayani Ilala jijini Dar es Salaam , asasi mbalimbali za kiraia wilayani humo  zimeungana kwa ajili ya kujenga nguvu ya pamoja kuhakikisha wanakabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia yanchi.

Miongoni mwa nguvu wanayotaka kujenga katika wilaya hiyo ni pamoja na  kuhakikisha kunakuwa wa kutosha kwa jamii kuhusu mabadiliko ya tabianchi ambapo watapata nafasi   na uwezo wa kuripoti...

 

11 years ago

GPL

NATURE APIGA SHOO YA NGUVU TAIFA

Mwanamuziki Juma Nature na kundi lake la Wanaume Halisi wakifanya yao ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 Uwanja wa Taifa.…

 

10 years ago

GPL

AZAM FC, SIMBA SC NGUVU SAWA TAIFA

TIMU ya Simba SC na Azam FC zimeshindwa kutambiana leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara baada ya kutoka sare ya bao 1-1. Katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar, bao la Simba limefungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 19 wakati la kusawazisha la Azam likifungwa na Kipre Tchetche dakika ya 57. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi alitolewa uwanjani kwenye machela baada ya kujeruhiwa na kukimbizwa hospitali. ...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Hussein Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Historia yake Dk Hussein Mwinyi alizaliwa Desemba 23, 1966 huko Unguja, Zanzibar (Desemba mwaka huu atatimiza miaka 49). Dk Mwinyi ni mtoto wa Mzee Ali Hassan Mwinyi (Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) na mama Sitti Mwinyi. Kwa sasa Dk Mwinyi ni Mbunge wa Kwahani Zanzibar na ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

GPL

YANGA WATOSHANA NGUVU NA AZAM UWANJA WA TAIFA LEO

Patashika langoni mwa Yanga SC. ...Wanaume kazini. Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao kwa kucheza…

 

9 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA ALGERIA KWA BAO 2-2

Mshambuliaji machachari wa Timu ya Taifa Stars, Thomas Ulimwengu, akionyesha umahiri wake wa kuwatoka mabeki wa timu ya Taifa ya Algeria, wakati wa Mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kucheza kwenye Mashindano ya Kombo la Dunia ya Mwaka 2018, katika mechi iliyopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Hadi mwisho wa mchezo, Timu zote zimetoka suluhu ya kufungana Bao 2-2.Mchezaji wa timu ya Taifa ya Algeria, Guediora Aldane akiondoka na mpira mbele ya beki wa Timu ya...

 

11 years ago

Michuzi

DR MWINYI AWASILISHA Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussen Mwinyi akisoma bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi kwa Mwaka 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.  Mtumishi wa Ofisi ya Bunge Paulina Mavunde akigawa kitabu cha Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujengaTaifa kwa Mwaka 2014/2015 leo  Wabunge wakisoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa 2014/2015 leo.  Mkuu wa Majeshi Jenerali  Davis Mwamunyange akiwa amesimama wakati akitambulishwa na Spika wa Bunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani