Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM FC, SIMBA SC NGUVU SAWA TAIFA

TIMU ya Simba SC na Azam FC zimeshindwa kutambiana leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara baada ya kutoka sare ya bao 1-1. Katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar, bao la Simba limefungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 19 wakati la kusawazisha la Azam likifungwa na Kipre Tchetche dakika ya 57. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi alitolewa uwanjani kwenye machela baada ya kujeruhiwa na kukimbizwa hospitali. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

YANGA WATOSHANA NGUVU NA AZAM UWANJA WA TAIFA LEO

Patashika langoni mwa Yanga SC. ...Wanaume kazini. Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao kwa kucheza…

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA NA AZAM NI SHIIIIIIIIIDA WATOSHANA NGUVU 2 KWA 2 TAIFA LEO

Hamis Tambwe aanza Yanga kwa bao moja leo taifa hapa Tambwe akiisawazishia timu ya Yanga bao katika dk ya 7 baana ya Kavumbaga kuwafunga Yanga bao katika dk ya 5 ya kipindi cha kwanza.Msuva na Tamwe ndiyo walikuwa mashujaa watimu ya Yanga taifa hapa wakichangilia kwa pamoja .Hapa wachezaji wa Azam wakishangilia baada ya kusawazisha bao la pili baada ya kuwa njuma kwa bao 2 kwa moja, Mchezo wa leo ulikuwa muhimu kwa timu zote lakini Azam ndiyo walikamia zaidi kutaka kulipiza kisasi cha...

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA ZATOSHANA NGUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba. Mshamuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga,Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1...

 

11 years ago

GPL

STARS, ZIMBABWE NGUVU SAWA

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimetoka sare ya bao 2-2 na timu ya Taifa ya Zimbabwe kwenye mchezo ulipigwa Uwanja wa Taifa jijini Harare. Mechi hiyo ilikuwa ya marudiano ya kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Morocco. Mabao ya Stars yamefungwa na Nadir Haroub 'Cannavaro' dakika ya 21 huku la pili likifungwa na Thomas Ulimwengu dakika ya 46. Mabao ya wenyeji...

 

10 years ago

GPL

ARSENAL, CHELSEA NGUVU SAWA

Santi Cazorla akipiga mpira uliomgonga mkononi beki wa Chelsea Gary Cahill wakati wa mechi ya leo. Oscar wa Chelsea akikwaana na kipa wa Arsenal David Ospina wakati wa mtanange wa leo. Kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas akizawadiwa kadi ya njano baada ya kujirusha akitafuta penalti. ARSENAL na Chelsea leo zimeshindwa…

 

10 years ago

GPL

YANGA, ETOILE DU SAHEL NGUVU SAWA

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa (kushoto) akijaribu kumtoka mchezaji wa Etoile Du Sahel wakati wa mechi yao ya Kombe la Shirikisho iliyopigwa Uwanja wa Taifa, Dar jana. Matokeo yalikuwa sare ya 1-1. Patashika wakati wa mchezo huo wa Kombe la Shirikisho uliomalizika kwa sare ya 1-1. Yanga…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani