YANGA WATOSHANA NGUVU NA AZAM UWANJA WA TAIFA LEO
Patashika langoni mwa Yanga SC. ...Wanaume kazini. Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao kwa kucheza…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 Dec
YANGA NA AZAM NI SHIIIIIIIIIDA WATOSHANA NGUVU 2 KWA 2 TAIFA LEO
Hamis Tambwe aanza Yanga kwa bao moja leo taifa hapa Tambwe akiisawazishia timu ya Yanga bao katika dk ya 7 baana ya Kavumbaga kuwafunga Yanga bao katika dk ya 5 ya kipindi cha kwanza.Msuva na Tamwe ndiyo walikuwa mashujaa watimu ya Yanga taifa hapa wakichangilia kwa pamoja .Hapa wachezaji wa Azam wakishangilia baada ya kusawazisha bao la pili baada ya kuwa njuma kwa bao 2 kwa moja, Mchezo wa leo ulikuwa muhimu kwa timu zote lakini Azam ndiyo walikamia zaidi kutaka kulipiza kisasi cha...
11 years ago
MichuziSIMBA NA YANGA ZATOSHANA NGUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba.
Mshamuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga,Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1...
10 years ago
GPLYANGA KUIVAA AZAM UWANJA WA TAIFA KESHO JUMAPILI
Kikosi cha Young Africans Sports Club. Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara litafunguliwa kesho kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majia ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Young Africans ambayo imekua na rekodi ya kufanya vizuri katika michezo ya Ngao ya Jamii, itashuka dimbani kupambana na wana lambalamba Azam FC huku ikiwa na...
10 years ago
Vijimambo30 Dec
PICHA NNE ZA KUCHEKESHA YANGA NA AZAM UWANJA WA TAIFA
By EDO KUMWEMBE (email the author)
Lilikuwa bao muhimu. Dakika chache baada ya Didier Kavumbagu kuipatia Azam bao la kuongoza. Kwa wanaomfahamu Tambwe hawakushangazwa na bao lile.
KWA shabiki wa Simba kuna picha inayoudhi, kukera na kunyanyasa moyo kama ile ya juzi wakati Amiss Tambwe alipokuwa akishangilia bao lake la kwanza katika jezi ya Yanga, tena katika pambano dhidi ya Azam!Lilikuwa bao muhimu. Dakika chache baada ya Didier Kavumbagu kuipatia Azam bao la kuongoza. Kwa wanaomfahamu...
Lilikuwa bao muhimu. Dakika chache baada ya Didier Kavumbagu kuipatia Azam bao la kuongoza. Kwa wanaomfahamu Tambwe hawakushangazwa na bao lile.
KWA shabiki wa Simba kuna picha inayoudhi, kukera na kunyanyasa moyo kama ile ya juzi wakati Amiss Tambwe alipokuwa akishangilia bao lake la kwanza katika jezi ya Yanga, tena katika pambano dhidi ya Azam!Lilikuwa bao muhimu. Dakika chache baada ya Didier Kavumbagu kuipatia Azam bao la kuongoza. Kwa wanaomfahamu...
9 years ago
MichuziMECHI YA YANGA NA AZAM UWANJA WA TAIFA HIVI SASA
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Amis Tambwe akiondoka na mpira mara baada ya kumpiga chenga ya mwili Beki wa Timu ya Azam, Pascal Wawa (aliekaa chini) wakati wa mtangange wa kuwania Ngao ya Jamii ya Ufungunguzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, hakuna timu iliyoona lango la mwenzie mpaka dakika hii.Kiungo machachari wa Azam, Farid Mussa akiangalia namna ya kumtoka, Geofrey Mwashiuya wa Yanga, wakati wa mtangange wa kuwania Ngao ya...
10 years ago
Michuziyanga na azam ni kivumbi uwanja wa taifa hivi sasa
Mshambuliaji wa Yanga,Hamis Tambwe akiipatia timu yake bao la kusawazisha katika mtanange wa muendelezo wa ligi kuu tanzania bara unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.Yanga inaongoza bao 2-1.Picha zote na Othman Michuzi.Mfungaji wa goli la kwanza kwa timu ya Yanga,Hamis Tambwe na Mfungaji wa Bao la pili,Simon Msuva wakishangia ushindi wao dhidi ya timu ya Azam katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam hivi sasa.Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi...
10 years ago
GPLSIMBA ILIVYOICHAKAZA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA
Emmanuel Okwi wa Simba (kulia) akikwatuliwa na beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' katika mechi baina ya timu hizo leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Okwi. Abdi Banda wa Simba (kulia) akiondoka na mpira huku akikabwa na kiungo Haruna Niyonzima wa Yanga.…
10 years ago
VijimamboYANGA, NDANDA ZATOKA SULUHU UWANJA WA TAIFA LEO
Beki Hasifiwi: Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiruka juu kuondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni kwao katika mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiwania mpira na Jacob Massawe wa Ndanda. Nadir Haroub wa Yanga akijaribu kuondosha hatari ilikuwa langoni kwake. Dan Mrwanda wa Yanga akitafuta namna ya kumtoka beki wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania