Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA KUIVAA AZAM UWANJA WA TAIFA KESHO JUMAPILI

Kikosi cha Young Africans Sports Club. Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara litafunguliwa kesho kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majia ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Young Africans ambayo imekua na rekodi ya kufanya vizuri katika michezo ya Ngao ya Jamii, itashuka dimbani kupambana na wana lambalamba Azam FC huku ikiwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NANI MTANI JEMBE 2, YANGA KUIVAA SIMBA KESHO TAIFA

Mechi ya Nani Mtani Jembe namba 2 itafanyika kesho siku ya jumamosi katika dimba la Uwanja ambapo itawakutanisha Young Africans Sports Club dhidi ya Simba SC huku timu  zote zikitarajiwa kuwatumia wachezai wao wapya zilizowasajili katika kipindi cha dirisha dogo. Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo tayari kimeshawasajili wachezaji wawili kiungo Emerson de Oliveira kutoka nchini Brazil na mshambuliaji mkongwe na mzoefu wa hali ya...

 

10 years ago

Michuzi

YANGA NA KHARTOUM KUKIPIGA JUMAPILI HII UWANJA WA TAIFA

 Hatua ya makundi ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kukamilika kesho jumapili kwa michezo miwili kupigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku macho na masikio ya wapenzi wa soka yakiwa katika mchezo kati ya Yanga SC dhidi ya Kahrtoum ya Sudan.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10 kamili jioni, ambapo Yanga SC watashuka dimbani kusaka ushindi wake wa tatu mfululizo katika michuano hiyo, hali kadhalika timu ya Khartoum ikihitaji ushindi...

 

11 years ago

GPL

YANGA WATOSHANA NGUVU NA AZAM UWANJA WA TAIFA LEO

Patashika langoni mwa Yanga SC. ...Wanaume kazini. Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao kwa kucheza…

 

9 years ago

Michuzi

MECHI YA YANGA NA AZAM UWANJA WA TAIFA HIVI SASA

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Amis Tambwe akiondoka na mpira mara baada ya kumpiga chenga ya mwili Beki wa Timu ya Azam, Pascal Wawa (aliekaa chini) wakati wa mtangange wa kuwania Ngao ya Jamii ya Ufungunguzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, hakuna timu iliyoona lango la mwenzie mpaka dakika hii.Kiungo machachari wa Azam, Farid Mussa akiangalia namna ya kumtoka, Geofrey Mwashiuya wa Yanga, wakati wa mtangange wa kuwania Ngao ya...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA NNE ZA KUCHEKESHA YANGA NA AZAM UWANJA WA TAIFA

By EDO KUMWEMBE (email the author) 
Lilikuwa bao muhimu. Dakika chache baada ya Didier Kavumbagu kuipatia Azam bao la kuongoza. Kwa wanaomfahamu Tambwe hawakushangazwa na bao lile.
KWA shabiki wa Simba kuna picha inayoudhi, kukera na kunyanyasa moyo kama ile ya juzi wakati Amiss Tambwe alipokuwa akishangilia bao lake la kwanza katika jezi ya Yanga, tena katika pambano dhidi ya Azam!Lilikuwa bao muhimu. Dakika chache baada ya Didier Kavumbagu kuipatia Azam bao la kuongoza. Kwa wanaomfahamu...

 

10 years ago

Michuzi

yanga na azam ni kivumbi uwanja wa taifa hivi sasa

Mshambuliaji wa Yanga,Hamis Tambwe akiipatia timu yake bao la kusawazisha katika mtanange wa muendelezo wa ligi kuu tanzania bara unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.Yanga inaongoza bao 2-1.Picha zote na Othman Michuzi.Mfungaji wa goli la kwanza kwa timu ya Yanga,Hamis Tambwe na Mfungaji wa Bao la pili,Simon Msuva wakishangia ushindi wao dhidi ya timu ya Azam katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam hivi sasa.Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani