NANI MTANI JEMBE 2, YANGA KUIVAA SIMBA KESHO TAIFA
![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slfaosjdzdQXHdn5R9Yis5Fm9RkHiFG9fvzffRvX-tEVSrzUPBhii2c*jezWxjvIQjcVL5tAWhE4qbblUawRDvc8/mtanijembe.jpg?width=650)
Mechi ya Nani Mtani Jembe namba 2 itafanyika kesho siku ya jumamosi katika dimba la Uwanja ambapo itawakutanisha Young Africans Sports Club dhidi ya Simba SC huku timu zote zikitarajiwa kuwatumia wachezai wao wapya zilizowasajili katika kipindi cha dirisha dogo. Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo tayari kimeshawasajili wachezaji wawili kiungo Emerson de Oliveira kutoka nchini Brazil na mshambuliaji mkongwe na mzoefu wa hali ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slfaosjdzdQXHdn5R9Yis5Fm9RkHiFG9fvzffRvX-tEVSrzUPBhii2c*jezWxjvIQjcVL5tAWhE4qbblUawRDvc8/mtanijembe.jpg?width=650)
10 years ago
VijimamboSIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE
![](http://2.bp.blogspot.com/-zc3yk_i8aEQ/VIxCRc87vwI/AAAAAAAAZUI/4nVjtHY24O0/s1600/454955_heroa.jpg)
Goli la pili la Simba limeweka wavuna na Elius Maguli na kuifanya Yanga kuzidi kutweta huku Simba wakizidi kuliandama lango la Yanga.
Mchezo huo wa kuania kombe la Nani Mtani Jembe 2014 bado unaendelea Uwanja wa Taifa jijini...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-hfjTr5iVads/VIxPUJbFAxI/AAAAAAACUQY/yfBp7SauJqg/s72-c/02.jpg)
MPIRA UKWISHA SIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE
![](http://api.ning.com/files/VNXpMB91slfaosjdzdQXHdn5R9Yis5Fm9RkHiFG9fvzffRvX-tEVSrzUPBhii2c*jezWxjvIQjcVL5tAWhE4qbblUawRDvc8/mtanijembe.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hfjTr5iVads/VIxPUJbFAxI/AAAAAAACUQY/yfBp7SauJqg/s640/02.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-IKMx2WqnBcw/VIxPZUhiqsI/AAAAAAACUQo/KVRBWirmDHs/s640/01.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-x5CZ_BUu0io/VIxPXjF7mhI/AAAAAAACUQg/bQvAVL06D48/s640/03.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-cRMcw7Nv0OE/VIxPa6JFppI/AAAAAAACUQw/EF_Xdw3jRpA/s640/04.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/U4XRt1fB2HU/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
NANI MTANI JEMBE??: Baadhi ya Tambo za Waigizaji Mashabiki wa Simba na Yanga
Leo ikiwa ni ile siku iliokkwa ikisubiliwa kwa hamu kujua nani ni MTANI JEMBE. Hizi ni baadhi ya tambo za waigizaji wa filamu ambao ni mashabiki wa timu hizi mbili za Samba na Yanga ambazo leo jioni zitavaana ili kujua nani ni mtani jembe.kumbuka mwaka jana Simba ndio alieibuka mtani jembe..Leo Jeeee?!!!!
Soma maneno walioandika mitandaoni kuelekea mechi hii.
Jb: Hakuna miujiza aliyezoea kufungwa na leo atafungwa.poleni sana yebo yebo...(picha akiwana jezi yake nyekundu)
Riyama: Kelele za...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ov_z2YnkL4k/VDtZAMPZmUI/AAAAAAAAnmY/gypLLHhBxCo/s72-c/M2.jpg)
KABURU NA BINDA WAWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA KATIKA NANI MTANI JEMBE JIJINI ARUSHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ov_z2YnkL4k/VDtZAMPZmUI/AAAAAAAAnmY/gypLLHhBxCo/s1600/M2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cLdj2CMUlLM/VDtY_wi12pI/AAAAAAAAnmU/ZZF86DFiYXM/s1600/M%2B1%2B(2).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-yEJrYSNiyJQ/VDtY_wjYKvI/AAAAAAAAnm8/GTtJR5Bx2dE/s1600/M%2B3%2B(2).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Yaliyojiri ndani na nje ya dakika 90 za Nani Mtani Jembe U/Taifa
SIKU 75 za kampeni ya aina yake iliyopewa jina la Nani Mtani Jembe, iliyoratibiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ikihusisha zaidi mashabiki wa klabu mbili za Simba na Yanga...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-g017uWM0tBc/VQ61KO3TFRI/AAAAAAAHMKU/4dNACVxj2-I/s72-c/unnamed%2B(45).jpg)
Simba yaifunga ya 5-4 katika mechi ya nani mtani jembe dubai
![](http://2.bp.blogspot.com/-g017uWM0tBc/VQ61KO3TFRI/AAAAAAAHMKU/4dNACVxj2-I/s1600/unnamed%2B(45).jpg)