Simba Sc 2-0 Yanga Sc Nani Mtani Jembe 2014, Full Match
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE
Goli la pili la Simba limeweka wavuna na Elius Maguli na kuifanya Yanga kuzidi kutweta huku Simba wakizidi kuliandama lango la Yanga.
Mchezo huo wa kuania kombe la Nani Mtani Jembe 2014 bado unaendelea Uwanja wa Taifa jijini...
10 years ago
VijimamboMPIRA UKWISHA SIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE
Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia bao la pili lililofungwa na Elias Maguli katika dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza. Mabao yote ya Simba yamefungwa katika kipindi cha kwanza huku bao la kwanza likifungwa na Awadh Juma katika dakika ya 30.Mashabiki wa Simba wakishangilia moja ya mabao yaliyofungwa na timu yao.Andreu Coutihno, akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba...Mchezaji mpya wa Yanga, kutoka nchini Liberia, Kpah Sherman. akisomba kijiji cha mabeki wa Simba.... Hadi hivi sasa...
10 years ago
GPL10 years ago
GPLNANI MTANI JEMBE 2, YANGA KUIVAA SIMBA KESHO TAIFA
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
NANI MTANI JEMBE??: Baadhi ya Tambo za Waigizaji Mashabiki wa Simba na Yanga
Leo ikiwa ni ile siku iliokkwa ikisubiliwa kwa hamu kujua nani ni MTANI JEMBE. Hizi ni baadhi ya tambo za waigizaji wa filamu ambao ni mashabiki wa timu hizi mbili za Samba na Yanga ambazo leo jioni zitavaana ili kujua nani ni mtani jembe.kumbuka mwaka jana Simba ndio alieibuka mtani jembe..Leo Jeeee?!!!!
Soma maneno walioandika mitandaoni kuelekea mechi hii.
Jb: Hakuna miujiza aliyezoea kufungwa na leo atafungwa.poleni sana yebo yebo...(picha akiwana jezi yake nyekundu)
Riyama: Kelele za...
10 years ago
MichuziKABURU NA BINDA WAWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA KATIKA NANI MTANI JEMBE JIJINI ARUSHA
10 years ago
MichuziSimba yaifunga ya 5-4 katika mechi ya nani mtani jembe dubai
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Maumivu Nani Mtani Jembe sasa yahamia kwa wachezaji Yanga SC
JINAMIZI la mechi ya Nani Mtani Jembe bado linaiandama Yanga, ambapo baada ya uongozi wa klabu hiyo kulipiga chini benchi lote la ufundi, sasa wamehamia kwa wachezaji na kumpiga ‘stop’...
11 years ago
GPLLIVE MECHI YA MTANI JEMBE: SIMBA 2 - 0 YANGA