Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA, NDANDA ZATOKA SULUHU UWANJA WA TAIFA LEO

 Beki Hasifiwi: Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiruka juu kuondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni kwao katika mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiwania mpira na Jacob Massawe wa Ndanda. Nadir Haroub wa Yanga akijaribu kuondosha hatari ilikuwa langoni kwake. Dan Mrwanda wa Yanga akitafuta namna ya kumtoka beki wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Yanga yashindwa kufutukuta mbele ya Ndanda,zatoka suluhu kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar leo

 Mshambuliaji Machachari wa timu ya Ndanda,Masoud Ally akitoa pasi maridadi kabisa mbele ya beki wa timu ya Yanga,Juma Abdul wakati wa mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Mshambuliaji wa timu ya Ndanda,Omega Seme akiangalia namna ya kumtoka Beki wa Yanga,Oscar Joshua mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

 

10 years ago

GPL

YANGA YASHIKWA TAIFA, YALAZIMISHWA SULUHU NA NDANDA

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Ndanda. Patashika wakati wa mtanange wa leo.…

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YASHINDWA KUIFUNGA EXPRESS YA UGANDA NYUMBANI, ZATOKA 0-0, UWANJA WA TAIFA LEO

 Magolikipa wa Simba, Manyika Peter na Ivo Mapunda  wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya The Express ya Uganda, katika mchezo huo timu hizo hazikufunga. 
(Picha zote na Francis Dande) Katongole Henry akimtoka mshambulia wa Simba, Ramadhani Singano 'Mess'. Kipa wa The Express, Mutumba Ivan akiruka juu kuokoa moja ya hatari langoni mwake. Beki wa Simba, Nasoro Masoud akimtoka mchezaji wa The Express ya Uganda wakati wa mchezo wa kimataifa wa kirafiki...

 

10 years ago

GPL

SIMBA ILIVYOICHAKAZA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA

Emmanuel Okwi wa Simba (kulia) akikwatuliwa na beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' katika mechi baina ya timu hizo leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Okwi. Abdi Banda wa Simba (kulia) akiondoka na mpira huku akikabwa na kiungo Haruna Niyonzima wa Yanga.…

 

11 years ago

GPL

YANGA WATOSHANA NGUVU NA AZAM UWANJA WA TAIFA LEO

Patashika langoni mwa Yanga SC. ...Wanaume kazini. Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao kwa kucheza…

 

10 years ago

Michuzi

yanga yatakata uwanja wa Taifa leo,Yawatungua wazimbabwe bao 5-1

Timu ya Yanga leo imeichapa Bad 5-1 timu ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la shirikisho,katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. 
 Picha na habari zaidi zitawajia punde.

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA ZATOSHANA NGUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba. Mshamuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga,Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1...

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAICHAPA MBEYA CITY BAO 3 - 1 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

 Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatoka Mabeki wa Timu ya Mbeya City wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeishia Bao 3 - 1. Picha na Othman Michuzi. Kiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeishia Bao 3 - 1.  Kipa wa Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiangalia mpira wavuni huku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani