Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YASHINDWA KUIFUNGA EXPRESS YA UGANDA NYUMBANI, ZATOKA 0-0, UWANJA WA TAIFA LEO

 Magolikipa wa Simba, Manyika Peter na Ivo Mapunda  wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya The Express ya Uganda, katika mchezo huo timu hizo hazikufunga. 
(Picha zote na Francis Dande) Katongole Henry akimtoka mshambulia wa Simba, Ramadhani Singano 'Mess'. Kipa wa The Express, Mutumba Ivan akiruka juu kuokoa moja ya hatari langoni mwake. Beki wa Simba, Nasoro Masoud akimtoka mchezaji wa The Express ya Uganda wakati wa mchezo wa kimataifa wa kirafiki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Yanga yashindwa kufutukuta mbele ya Ndanda,zatoka suluhu kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar leo

 Mshambuliaji Machachari wa timu ya Ndanda,Masoud Ally akitoa pasi maridadi kabisa mbele ya beki wa timu ya Yanga,Juma Abdul wakati wa mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Mshambuliaji wa timu ya Ndanda,Omega Seme akiangalia namna ya kumtoka Beki wa Yanga,Oscar Joshua mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA, NDANDA ZATOKA SULUHU UWANJA WA TAIFA LEO

 Beki Hasifiwi: Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiruka juu kuondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni kwao katika mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiwania mpira na Jacob Massawe wa Ndanda. Nadir Haroub wa Yanga akijaribu kuondosha hatari ilikuwa langoni kwake. Dan Mrwanda wa Yanga akitafuta namna ya kumtoka beki wa...

 

10 years ago

GPL

SIMBA ILIVYOICHAKAZA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA

Emmanuel Okwi wa Simba (kulia) akikwatuliwa na beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' katika mechi baina ya timu hizo leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Okwi. Abdi Banda wa Simba (kulia) akiondoka na mpira huku akikabwa na kiungo Haruna Niyonzima wa Yanga.…

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yaipania Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Taifa

Baada ya kushindwa kutwaa Kombe la Mapinduzi, Simba leo itashuka uwanja wa Taifa kumenyana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa kirafiki ambao kiingilio chake ni Sh5,000.

 

10 years ago

Michuzi

Simba SC , Kagera Sugar vita mpya uwanja wa Taifa leo

Kagera Sugar FCSimba FCNa Sultani KipingoBaada ya mapumziko ya karibu miezi miwili, vumbi la Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimka tena kuanzia leo kwa pambano moja litakalochezwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kwa kuzikutanisha Simba SC na Kagera Sugar FC. Simba ambayo imelitumia vyema dirisha dogo la usajili kwa kufanya usajili wa baadhi ya nyota kuimarisha kikosi chao itaivaa Kagera ikitokea Zanzibar ilipokuwa imeweka kambi yao tangu Jumapili...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba SC, Mbeya City vita mpya Uwanja wa Taifa leo

Simba inaikabili Mbeya City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na inatakiwa kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kuwania ubingwa msimu huu.

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA ZATOSHANA NGUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba. Mshamuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga,Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1...

 

10 years ago

Michuzi

BONANZA LA SIMBA DAY LILIVYOFANYA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

 RAIS wa klabu ya soka ya Simba, Evans Aveva, (pichani juu), jana alikuwa kama kocha wa Chelsea, Josse Morinho, kutokana na jinsi alivyokuwa akiwaelekeza wachezaji wa timu ya viongozi wa Simba dhidi ya timu ya soma ya wasanii wa bongo movie na bongo flava kwenye maadhimisho ya siku ya Simba almaarufu kama Simba Day.Aveva abaye alikuwa “kaulamba” yaani kapiga suti yake nyeusi, alikuwa ndio “kocha wa timu hiyo ya viongozi wa Simba.

Akiwa amevalia suti nyeusi, hakuweza kutulia kwenye kiti, kila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani