Simba SC, Mbeya City vita mpya Uwanja wa Taifa leo
Simba inaikabili Mbeya City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na inatakiwa kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kuwania ubingwa msimu huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSimba SC , Kagera Sugar vita mpya uwanja wa Taifa leo
Kagera Sugar FCSimba FCNa Sultani KipingoBaada ya mapumziko ya karibu miezi miwili, vumbi la Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimka tena kuanzia leo kwa pambano moja litakalochezwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kwa kuzikutanisha Simba SC na Kagera Sugar FC. Simba ambayo imelitumia vyema dirisha dogo la usajili kwa kufanya usajili wa baadhi ya nyota kuimarisha kikosi chao itaivaa Kagera ikitokea Zanzibar ilipokuwa imeweka kambi yao tangu Jumapili...
10 years ago
MichuziYANGA YAICHAPA MBEYA CITY BAO 3 - 1 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatoka Mabeki wa Timu ya Mbeya City wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeishia Bao 3 - 1. Picha na Othman Michuzi. Kiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeishia Bao 3 - 1. Kipa wa Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiangalia mpira wavuni huku...
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Simba, Kagera vita mpya Taifa
Baada ya mapumziko ya karibu miezi miwili, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa pambano moja litakalochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kwa kuzikutanisha Simba na Kagera Sugar.
10 years ago
GPLSIMBA YACHAPWA NA MBEYA CITY TAIFA
Simba SC wakimenyana na Mbeya City katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. (Picha na Maktaba Yetu)
SIMBA SC imeendelea kupoteza michezo yake hasa ya nyumbani baada ya leo kukubali tena kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City. Mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) imepigwa muda mfupi uliopita katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba hivi karibuni ilipoteza mechi yake ya nyumbani baada ya kupigwa na Kagera Sugar kwenye...
10 years ago
MichuziSimba, Kagera vita mpya Taifa jumamosi hii
Baada ya mapumziko ya karibu miezi miwili, vumbi la Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimka tena kuanzia jumamosi hii kwa pambano moja litakalochezwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kwa kuzikutanisha timu za Simba na Kagera Sugar. Simba ambayo imelitumia vyema dirisha dogo la usajili kwa kufanya usajili wa baadhi ya nyota kuimarisha kikosi chao itaivaa Kagera ikitokea Zanzibar ilipokuwa imeweka kambi yao tangu Jumapili iliyopita.
Mabingwa hao wa zamani katika...
Mabingwa hao wa zamani katika...
10 years ago
GPLSIMBA ILIVYOICHAKAZA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA
Emmanuel Okwi wa Simba (kulia) akikwatuliwa na beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' katika mechi baina ya timu hizo leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Okwi. Abdi Banda wa Simba (kulia) akiondoka na mpira huku akikabwa na kiungo Haruna Niyonzima wa Yanga.…
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Simba yaipania Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Taifa
Baada ya kushindwa kutwaa Kombe la Mapinduzi, Simba leo itashuka uwanja wa Taifa kumenyana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa kirafiki ambao kiingilio chake ni Sh5,000.
11 years ago
MichuziMTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0
Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.
Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Mbeya City yaua, Prisons v Simba leo
Mbeya. Mbeya City imeichakaza Rhino Rangers kwa mabao 3-1 Â jana kwenye Uwanja wa Sokoine, wakati ndugu zao wa Tanzania Prisons, leo wataivaa Simba kwenye uwanja huo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania