Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbeya City yaua, Prisons v Simba leo

Mbeya. Mbeya City imeichakaza Rhino Rangers kwa mabao 3-1  jana kwenye Uwanja wa Sokoine, wakati ndugu zao wa Tanzania Prisons, leo wataivaa Simba kwenye uwanja huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mbeya City, Simba leo ni leo

WATACHOMOKA? Hakika Wekundu wa Msimbazi wameweka dhamira kuwa wanataka kuvunja mwiko katika viwanja vyote vigumu ikiwemo katika mchezo wa leo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Sokoine jijini Mbeya kwa kuhakikisha wanapata pointi tatu muhimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Prisons yaionya Mbeya City

Timu ya Tanzania Prisons imeapa kuondoa uteja kutoka kwa Mbeya City msimu ujao na kusisitiza kwamba vijana wa timu hiyo wanajinoa kisawasawa kuondokana na hali hiyo.

 

11 years ago

GPL

Mbeya City yaibamiza Prisons

Baadhi ya wachezaji wa Mbeya City wakishangilia ushindi. Na Sophia Mwaipyana, Mbeya
VIJANA wa Mbeya City wameendelea kuonyesha kuwa wapo kikazi zaidi msimu huu baada ya kutoa kipigo cha bao 1-0 kwa wapinzani wao wa mji mmoja, Tanzania Prisons katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, jana. Mbeya City ambayo imefikisha pointi 45, ilipata bao lake kupitia kwa Paul Nonga katika… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba SC, Mbeya City vita mpya Uwanja wa Taifa leo

Simba inaikabili Mbeya City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na inatakiwa kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kuwania ubingwa msimu huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yawavaa KMKM leo, Mbeya City, Ashanti hoi

>Kocha mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic leo ataiongoza timu yake kuikabili KMKM kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbeya City, Prisons vitani Julai 5

TIMU za Mbeya City na Tanzania Prisons zinatarajiwa kushuka dimbani Julai 5 kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, jijini Mbeya kwa ajili ya kufanyia majaribio tiketi za kielektroniki. Kwa mujibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani