Mbeya City yaibamiza Prisons
![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TavJHayQpg3sTBAyq*sB6nuWxodEGZxxGYsfS0bd8M2WHwO46PP**gG0v0ZdWDCLfJnXFkSjibAt4GmAzpkyuz2/mbeya.jpg?width=550)
Baadhi ya wachezaji wa Mbeya City wakishangilia ushindi. Na Sophia Mwaipyana, Mbeya VIJANA wa Mbeya City wameendelea kuonyesha kuwa wapo kikazi zaidi msimu huu baada ya kutoa kipigo cha bao 1-0 kwa wapinzani wao wa mji mmoja, Tanzania Prisons katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, jana. Mbeya City ambayo imefikisha pointi 45, ilipata bao lake kupitia kwa Paul Nonga katika… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jul
Prisons yaionya Mbeya City
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Mbeya City, Prisons vitani Julai 5
TIMU za Mbeya City na Tanzania Prisons zinatarajiwa kushuka dimbani Julai 5 kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, jijini Mbeya kwa ajili ya kufanyia majaribio tiketi za kielektroniki. Kwa mujibu...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Mbeya City, Prisons zaambulia sare 1-1Â
TIMU za Mbeya City na Tanzania Prisons za jijini hapa, jana zilitoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya kirafiki iliyokuwa kipimo cha matumizi ya mfumo mpya wa tiketi za...
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Mbeya City yaua, Prisons v Simba leo
9 years ago
Habarileo19 Sep
Prisons kumalizia hasira kwa Mbeya City
NAHODHA wa Tanzania Prisons, Laurian Mpalile amesema mchezo dhidi ya Mbeya City utakuwa mgumu lakini haiwafanyi kuogopa kucheza nao.
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Prisons, Mbeya City waungana kuiua Yanga
9 years ago
TheCitizen05 Oct
Mbeya City lose again as Toto, Prisons win
9 years ago
MichuziTANZANIA PRISONS WAIBUKA MSHINDI KWA KUIFUNGA MBEYA CITY FC GORI 1-0