Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prisons kumalizia hasira kwa Mbeya City

NAHODHA wa Tanzania Prisons, Laurian Mpalile amesema mchezo dhidi ya Mbeya City utakuwa mgumu lakini haiwafanyi kuogopa kucheza nao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TANZANIA PRISONS WAIBUKA MSHINDI KWA KUIFUNGA MBEYA CITY FC GORI 1-0

Kikosi kazi cha Timu ya Tanzania Prisons katika Picha ya Pamoja leo katika uwanja wa Sokeine Jijini Mbeya katika Mtanange wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara ambapo Timu ya Tanzania Prison iliibuka mshindi kwa kuwafunga Mbeya City fc Bao moja kwa Sifuri 1-0, ambapo Mchezaji wa Timu ya Tanzania Prison Jumanne Elfadhili dk ya 32 ndiye aliye ipatia ushindi Timu hiyo ya Tanzania Prison baada ya kupokea pande kutoka kwa Salum Kimenya.Golikipa machachari wa Timu ya Tanzania Prisons Aron Kalambo...

 

11 years ago

Mwananchi

Prisons yaionya Mbeya City

Timu ya Tanzania Prisons imeapa kuondoa uteja kutoka kwa Mbeya City msimu ujao na kusisitiza kwamba vijana wa timu hiyo wanajinoa kisawasawa kuondokana na hali hiyo.

 

11 years ago

GPL

Mbeya City yaibamiza Prisons

Baadhi ya wachezaji wa Mbeya City wakishangilia ushindi. Na Sophia Mwaipyana, Mbeya
VIJANA wa Mbeya City wameendelea kuonyesha kuwa wapo kikazi zaidi msimu huu baada ya kutoa kipigo cha bao 1-0 kwa wapinzani wao wa mji mmoja, Tanzania Prisons katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, jana. Mbeya City ambayo imefikisha pointi 45, ilipata bao lake kupitia kwa Paul Nonga katika… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbeya City, Prisons vitani Julai 5

TIMU za Mbeya City na Tanzania Prisons zinatarajiwa kushuka dimbani Julai 5 kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, jijini Mbeya kwa ajili ya kufanyia majaribio tiketi za kielektroniki. Kwa mujibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbeya City, Prisons zaambulia sare 1-1 

TIMU za Mbeya City na Tanzania Prisons za jijini hapa, jana zilitoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya kirafiki iliyokuwa kipimo cha matumizi ya mfumo mpya wa tiketi za...

 

9 years ago

TheCitizen

Mbeya City lose again as Toto, Prisons win

Toto African, Stand United and Tanzania Prisons yesterday recorded wins to secure three crucial points in the ongoing Vodacom Premier League.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City yaua, Prisons v Simba leo

Mbeya. Mbeya City imeichakaza Rhino Rangers kwa mabao 3-1  jana kwenye Uwanja wa Sokoine, wakati ndugu zao wa Tanzania Prisons, leo wataivaa Simba kwenye uwanja huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Prisons, Mbeya City waungana kuiua Yanga

Ni urafiki wenye shaka. Hivyo, ndivyo unavyoweza kuzungumzia hatua ya mashabiki wa Prisons na Mbeya City kuungana ili kuimaliza Yanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani