SIMBA YACHAPWA NA MBEYA CITY TAIFA
![](http://api.ning.com:80/files/*JoV1omPzSNl5tmNo329HiDj3etCTUza6qyXHfU*RPqsN5o4GCs488WdjFoYtQg6G9RdicxO7rtoZm67lvmvkng14PGYz26S/SIMBANAMBEYACITY.jpg?width=650)
Simba SC wakimenyana na Mbeya City katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. (Picha na Maktaba Yetu) SIMBA SC imeendelea kupoteza michezo yake hasa ya nyumbani baada ya leo kukubali tena kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City. Mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) imepigwa muda mfupi uliopita katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba hivi karibuni ilipoteza mechi yake ya nyumbani baada ya kupigwa na Kagera Sugar kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Simba SC, Mbeya City vita mpya Uwanja wa Taifa leo
10 years ago
Michuzi18 Jan
ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
10 years ago
TheCitizen28 Jan
Mbeya City go into Simba’s den
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Simba, Mbeya City vitani
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Mbeya City kuishtaki Simba
10 years ago
Mwananchi17 May
Simba kuibomoa Mbeya City
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Simba yajipanga kuiua Mbeya City
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imeanza kuipigia hesabu Mbeya City wanayotarajia kucheza nayo Oktoba 17 mwaka huu kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, wekundu hao wamedai kuwa ili kuzoa pointi zote tatu wamepanga kufika mapema mkoani humo.
Wachezaji wa Simba ambao hawamo kwenye timu za Taifa, wanatarajia kuanza tena mazoezi leo baada ya mapumziko ya siku mbili, tayari kabisa kujiandaa na mchezo huo muhimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Msimu uliopita Simba iliambulia patupu mbele ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kPWAOYVbPQbUv-OpJ7JelI6ETr0qGoyEnL1-y*x0QpYQzEX8zrI3Q-3wjL8bX7QfzYrOEzFekG1tQ2ubCMNqr8htVPZinTD6/mbeya.jpg)
Mbeya City yamtimua kocha Simba