STARS, ZIMBABWE NGUVU SAWA
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimetoka sare ya bao 2-2 na timu ya Taifa ya Zimbabwe kwenye mchezo ulipigwa Uwanja wa Taifa jijini Harare. Mechi hiyo ilikuwa ya marudiano ya kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Morocco. Mabao ya Stars yamefungwa na Nadir Haroub 'Cannavaro' dakika ya 21 huku la pili likifungwa na Thomas Ulimwengu dakika ya 46. Mabao ya wenyeji...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ARSENAL, CHELSEA NGUVU SAWA
10 years ago
GPLAZAM FC, SIMBA SC NGUVU SAWA TAIFA
10 years ago
GPLYANGA, ETOILE DU SAHEL NGUVU SAWA
10 years ago
Habarileo07 Oct
Taifa Stars mguu sawa
TIMU ya Taifa Tanzania, Taifa Stars, leo wanashuka dimbani kuvaana na Malawi ‘The Flames’ katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2018, huku Kocha Mkuu Charles Mkwasa akiahidi kuibuka na ushindi. Mchezo huo wa awali utachezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10:30 jioni .
11 years ago
GPL
STARS YAICHINJA ZIMBABWE TAIFA
10 years ago
Habarileo05 Nov
Twiga Stars, yapangiwa Zimbabwe
TIMU ya soka ya taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ itaanza kampeni ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani huko Cameroon kwa kuchuana na Zimbabwe katika raundi ya kwanza ya mchujo.
11 years ago
Dewji Blog28 May
Stars yatuma salamu Zimbabwe
Na Sosthenes Nyoni,
Dar es Salaam. Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetuma salamu Zimbabwe baada ya kuichapa Malawi kwa bao 1-0 jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kiungo wa Simba, Amri Kiemba aliifungia Stars bao pekee dakika 36 akimalizia kazi nzuri ya Shomari Kapombe, Kelvin Friday na Simon Msuva. Huo ni ushindi wa pili kwa kocha Mart Nooij tangu alipopewa jukumu la kuinoa Stars mwanzoni mwa mwezi huu.
Taifa Stars inajiandaa na mechi yake ya marudiano dhidi ya Zimbabwe...
11 years ago
Michuzi
TAIFA STARS kicked out of hotel in Zimbabwe

This is because the Zimbabwe Football Authority (ZIFA) hosting the team, failed to pay their accommodation, broadcast journalist Ezra Tshisa Sibanda says.
“This is a disgrace and a total failure by those in charge of the football association. I wouldn’t mind the players and technical staff deserting...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Hongera Taifa Stars kuing’oa Zimbabwe
TIMU ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilifanikiwa kutinga raundi ya pili ya kupigania nafasi ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Mataifa Afrika ‘Afcon 2014’ litakalofanyika mwakani...