STARS YAICHINJA ZIMBABWE TAIFA
![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCDFAbsMBSxe1lgsHpJ7BiU*TaW8U66dRYYJ0HIMNEiqG3cd14xq7MhRa5WwhtUcBwPsvgi0ci*RV*8KEixO9NNF/STARS.jpg?width=650)
Stars wakishangilia ushindi dhidi ya Zimbabwe. TIMU ya Taifa, Taifa Stars imeibuka kifua mbele baada ya kuilaza timu ya Taifa ya Zimbabwe 'Mighty Warriors' bao 1-0 katika mechi ya kuwania nafasi ya kucheza fainali za Mataifa ya Afrika iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar. Bao la Stars limefungwa na John Bocco 'JB' dakika ya 16 kipindi cha kwanza! ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UcL2aFbBQuw/U4ndLvQK29I/AAAAAAAFmuY/lVWygzwNY3w/s72-c/IMG_7088.jpg)
TAIFA STARS kicked out of hotel in Zimbabwe
![](http://1.bp.blogspot.com/-UcL2aFbBQuw/U4ndLvQK29I/AAAAAAAFmuY/lVWygzwNY3w/s1600/IMG_7088.jpg)
This is because the Zimbabwe Football Authority (ZIFA) hosting the team, failed to pay their accommodation, broadcast journalist Ezra Tshisa Sibanda says.
“This is a disgrace and a total failure by those in charge of the football association. I wouldn’t mind the players and technical staff deserting...
9 years ago
BBCSwahili23 Oct
Taifa Stars wanawake kuivaa Zimbabwe
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Hongera Taifa Stars kuing’oa Zimbabwe
TIMU ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilifanikiwa kutinga raundi ya pili ya kupigania nafasi ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Mataifa Afrika ‘Afcon 2014’ litakalofanyika mwakani...
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Taifa Stars wakijipanga vizuri, wanaweza kuing’oa Zimbabwe
TIMU ya Soka ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Jumapili iliyopita ilianza vizuri kampeni ya kuwania nafasi ya kuwamo katika kundi F, kwa kampeni ya kucheza fainali za Afrika ‘AFCON 2015’ za...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-HF7Z9kFs6TA/U3jplmoqJKI/AAAAAAABhjY/oM-oEr6ypRc/s72-c/Samatta.jpg)
TAIFA STARS YAICHAPA ZIMBABWE BAO 1-0 LEO DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-HF7Z9kFs6TA/U3jplmoqJKI/AAAAAAABhjY/oM-oEr6ypRc/s1600/Samatta.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-187ap70j88o/U3jpnwv8R3I/AAAAAAABhjg/9OvmyJkghE8/s1600/Ngassa.jpg)
11 years ago
Michuzi12 May
TAIFA STARS NA ZIMBABWE KUUMANA DAR ES SALAAM JUMAPILI MEI 18
Awali mechi hiyo tulipanga ichezwe Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kwa nia ya kuhakikisha mikoa yote ya Tanzania inapata fursa ya kuwa mwenyeji wa mechi za kimataifa.
Ili Uwanja wa Sokoine uweze kuchezwa mechi za kimataifa za mashindano, Shirikisho la Mpira wa...
11 years ago
GPLTAIFA STARS, ZIMBABWE ZAINGIZA MIL 63, LIGU KUU TANZANIA BARA KUANZA AGOSTI 24 MWAKA HUU
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s72-c/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS
![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s1600/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...
11 years ago
Dewji Blog28 May
Stars yatuma salamu Zimbabwe
Na Sosthenes Nyoni,
Dar es Salaam. Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetuma salamu Zimbabwe baada ya kuichapa Malawi kwa bao 1-0 jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kiungo wa Simba, Amri Kiemba aliifungia Stars bao pekee dakika 36 akimalizia kazi nzuri ya Shomari Kapombe, Kelvin Friday na Simon Msuva. Huo ni ushindi wa pili kwa kocha Mart Nooij tangu alipopewa jukumu la kuinoa Stars mwanzoni mwa mwezi huu.
Taifa Stars inajiandaa na mechi yake ya marudiano dhidi ya Zimbabwe...