Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA ALGERIA KWA BAO 2-2

Mshambuliaji machachari wa Timu ya Taifa Stars, Thomas Ulimwengu, akionyesha umahiri wake wa kuwatoka mabeki wa timu ya Taifa ya Algeria, wakati wa Mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kucheza kwenye Mashindano ya Kombo la Dunia ya Mwaka 2018, katika mechi iliyopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Hadi mwisho wa mchezo, Timu zote zimetoka suluhu ya kufungana Bao 2-2.Mchezaji wa timu ya Taifa ya Algeria, Guediora Aldane akiondoka na mpira mbele ya beki wa Timu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA MALAWI, JIJINI MWANZA LEO

Viongozi mbali mbali pamoja na Timu zote mbili wakiwa wamesimama kwa dakika chache kumkmbuka Kiongozi wa mpira wa Miguu, Aliyetangulia mbele ya haki, Kocha wa zamani wa Timu ya Taifa Star, Marehemu Sylvester Marsh aliyefariki dunia hivi karibuni katika Hospitali ya Muhimbili na kuzikwa Mjini Mwanza.Wachezaji wa Malawi wakipongezana baada ya kupata bao la mapema dakika ya tatu kupitia kwa Esau Kanyenda kwa kufanya 1-0.Mshambuliaji wa Timu ya Taifa "Taifa Stars", Thomas Ulimwengu akitafuna...

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YATOSHANA NGUVU YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA POLISI MOROGORO

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akishangilia bao aliloifungia timu yake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Polisi ya Morogoro uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ramadhani Singano 'Messi'Golikipa wa Polisi Morogoro, Abdul Ibad akijaribu kuokoa bila mafanikio kiki iliyopigwa na mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Golikipa...

 

9 years ago

GPL

STARS YATOKA SARE YA BAO 2-2 NA ALGERIA LEO TAIFA

Wachezaji wa Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakishangilia moja ya bao. Mashabiki wakishangilia. Mbwana Samatta akishangilia goli lake alilofunga dhidi ya Algeria. Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeeshindwa kuchomoza  na ushindi baada ya kulazimishwa sare ya kufungana magoli 2-2 dhidi ya timu ya taifa ya Algeria kwenye mchezo wa kwanza wa kuwania nafasi ya kupangwa kwenye makundi kwa ajili ya kuwania...

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

9 years ago

Mtanzania

Taifa Stars yaitesa Algeria

Pg 32ABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER

WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ikitarajia kurudiana na Algeria ‘The Desert Foxes’ kwenye Uwanja wa Mustapha Tchaker jijini Blida leo saa 3:15 usiku, Taifa Stars imeonekana kuwatesa wapinzani hao kuelekea mchezo huo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Kiwango kikubwa walichokionyesha Stars kwenye mchezo wa kwanza uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, bado kimezidi kuwavuruga Algeria ambao hadi sasa hawaamini kama...

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAICHAPA ZIMBABWE BAO 1-0 LEO DAR ES SALAAM

Mshambuliaji wa Taifa Stars , Mbwana Samatta (juu) akikwepa kwanja wakati akijaribu kumtoka beki wa timu ya Taifa ya Zimbabwe, katika mchezo wa kwanza wa mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika 2015 zinazotarajia kufanyika nchini Morocco, wakati wa mtanange huo uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Taifa Stars, ilishinda bao 1-0.  ***********************************************  Na Sufianimafoto,...

 

10 years ago

GPL

TAIFA STARS YAANZA VIBAYA COSAFA, YAFUNGWA NA SWAZILAND BAO 1-0

Beki wa timu ya taifa, Taifa Stars, Shomari Kapombe (kulia) akichuana na mchezaji wa Swaziland kwenye mchezo wao wa jana uliopigwa kwenye Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace katika michuano ya Cosafa inayoendelea huko Afrika Kusini. Stars ilifungwa bao 1-0. Straika wa Stars, John Bocco akiruka hewani kuwania mpira na mchezaji wa Swaziland.… ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Everton yatoshana nguvu na Crystal Palace

Klabu ya Everton ilitoka sare na Cyrstal Palace kwenye mechi ya Ligi Kuu ya England iliyochezwa Jumatatu jioni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatoshana nguvu na Man City

Kiwango cha soka zuri walilonyesha kimewapa matumaini mashabiki wa Arsenal baada ya wiki ya vipigo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani