Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wajiweka pembeni ‘vigogo’ waliosafishwa Ikulu

Siku moja baada ya Ikulu kutangaza kuwasafisha mawaziri watano na Katibu Mkuu, Eliackim Maswi, wabunge wamejiweka pembeni na suala hilo wakisema Bunge lilishatimiza wajibu wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wabunge Waweka Siasa Pembeni na Kupambana na Corona

Na Jonas Kamaleki, Dodoma

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameweka nguvu zao pamoja kupambana na ugonjwa wa Corona na kuweka itikadi zao za kisiasa pembeni.

Akizungumza leo Bungeni jijini Dodoma katika kikao cha kwanza cha Bunge la Bajeti la 2020/21, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amewataka wabunge na wadau wengine waweke umbali kati ya mtu na mtu (sociali distance) ili kuepuka maambukizi ya Corona.

Kwa kuzingatia hilo, jumla ya wabunge wasiozidi 150 ndio wanaoruhusiwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wabunge wa Chadema wajiweka karantini kuepuka kusambaa kwa virusi.

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimewataka wafuasi wake bungeni kuacha kujhudhuria vikao vya bunge na kukaa mbali na majengo ya bunge ya Dodoma na Dar es salaam ili kuzuwia kusambaa kwa virusi vya corona.

 

10 years ago

Mwananchi

Wao wakiitazama Ikulu, sisi tulitazame taifa huku tukiweka uchama pembeni

Kwa hali ilivyo sasa ninaona jotoridi ikizidi kupanda katika vyama vya siasa, hasa ukizingatia michakato ya ndani ya vyama ya kuteua watakaopewa dhamana ya kugombea nafasi za udiwani, ubunge na Urais. Kwa kiasi kikubwa kabisa, naona Wananchi wakigubikwa na mjadala wa nani ni nani na huenda nani atapata nini

 

10 years ago

Mwananchi

Ikulu: JK hatawaadhibu vigogo wa escrow bila ya uchunguzi

 Ikulu imesema pamoja na kuwa Rais Jakaya Kikwete amekwishapokea maazimio ya Bunge kuhusu wanaotuhumiwa kuchota Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, hawezi kuwachukulia hatua mpaka hapo uchunguzi kuhusu suala hilo utakapokamilika.

 

11 years ago

Mwananchi

Ikulu: Rais hataidhinisha mamilioni ya wabunge

Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hatakubali kuidhinisha kama akipelekewa ombi la kuongeza kiinua mgongo cha wabunge kutoka Sh43 milioni hadi Sh160 milioni.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Ukawa waikalia kooni Ikulu

>Mjadala wa bajeti mwaka 2015/16 umegeuka mwiba mchungu kwa Ofisi ya Rais baada ya mawaziri watatu waliopo katika ofisi hiyo kubanwa na wabunge wa upinzani hasa wale wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakisema “njaa imeanzia Ikulu na Ofisi ya Rais inayosimamia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) haina utashi wa kupambana na rushwa.”

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Takukuru haiwezi kuchunguza viongozi waliosafishwa

>Katika kipindi cha wiki moja iliyopita, mjadala mkubwa katika jamii na vikao vya Bunge la Bajeti ulikuwa utata wa kauli zilizotolewa na Serikali pamoja na vyombo vinavyoshughulikia udhibiti na mapambano dhidi ya rushwa kuhusu watendaji waliosafishwa katika sakata la uchotwaji fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi wajiweka sawa

kovaJESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejipanga vizuri kukabiliana na viashiria vya matukio ya kigaidi na ujambazi wa kutumia silaha katika ukanda wa Afrika Mashariki, anaripoti Asifiwe George kutoka Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, alisema watashirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha udhibiti wa matukio ya uhalifu au fujo zinazoweza kujitokeza, hasa katika kipindi hiki cha Sikukuu ya...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

OMBI LA WABUNGE NA MADIWANI WA UKAWA MANISPAA YA KINONDONI KUIOMBA IKULU (OFISI YA RAIS) IUNDE TUME HURU

LEO MADIWANI NA WABUNGE WA UKAWA MANISPAA YA KINONDONItumeiomba Ikulu (OFISI YA RAIS) iteue TUME HURU YA UCHUNGUZI "a free and independent inquirery Commission" dhidi ya tuhuma za mkurugenzi aliyesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma zake 3:- (i) Uduni wa ubora wa barabara zilizo jengwa manispaa yabkinondoni na kushindwa kuwaadhibu wahandisi wahusika (ii) Kushindwa kusimamia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani