Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wajiweka sawa

kovaJESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejipanga vizuri kukabiliana na viashiria vya matukio ya kigaidi na ujambazi wa kutumia silaha katika ukanda wa Afrika Mashariki, anaripoti Asifiwe George kutoka Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, alisema watashirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha udhibiti wa matukio ya uhalifu au fujo zinazoweza kujitokeza, hasa katika kipindi hiki cha Sikukuu ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

IPTL wajiweka sawa kuuza umeme senti 6 kwa uniti

KAMPUNI ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imepanga kushusha bei ya umeme kwa Shirika la Umeme (Tanesco), kutoka kati ya senti za kimarekani 26 mpaka 30 kwa uniti moja, mpaka senti sita na nane.

 

10 years ago

Mwananchi

JK awaambia polisi wakae mguu sawa

>Rais Jakaya Kikwete amelikata Jeshi la Polisi nchini kujiandaa kikamilifu ili kukabiliana na vurugu zozote zitakazojitokeza wakati wa uandikishaji wapigakura, upigaji Kura ya Maoni ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu.

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wajiweka pembeni ‘vigogo’ waliosafishwa Ikulu

Siku moja baada ya Ikulu kutangaza kuwasafisha mawaziri watano na Katibu Mkuu, Eliackim Maswi, wabunge wamejiweka pembeni na suala hilo wakisema Bunge lilishatimiza wajibu wake.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ololosokwan wajiweka tayari kutimiza ndoto ya kijiji cha dijitali

DSC_0010

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues aliposimama kwenye Kijiji cha Ngeresero kwa ajili ya kuwaungisha wanawake wa kimasai wanaofanya biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali za shanga kwa watalii wanaosimama kwenye kijiji hicho kwa ajili ya kupata mahitaji mbalimbali, wakati akielekea kijiji cha Ololosokwan kilichopo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kukagua miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Beki wa kati, Daniele Rugani akutwa na virusi , wachezaji wa Arsenal wajiweka karantini

Juventus imetangaza kwamba beki wa kati wa Italia Daniele Rugani amepatikana na virusi corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wabunge wa Chadema wajiweka karantini kuepuka kusambaa kwa virusi.

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimewataka wafuasi wake bungeni kuacha kujhudhuria vikao vya bunge na kukaa mbali na majengo ya bunge ya Dodoma na Dar es salaam ili kuzuwia kusambaa kwa virusi vya corona.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Saly — Sawa

Screen-Shot-2015-11-09-at-7.25.53-PM

Video mpya ya Mwanadada Saly wimbo unaitwa “Sawa”. Video imeongozwa na Godfred

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani