IPTL wajiweka sawa kuuza umeme senti 6 kwa uniti
KAMPUNI ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imepanga kushusha bei ya umeme kwa Shirika la Umeme (Tanesco), kutoka kati ya senti za kimarekani 26 mpaka 30 kwa uniti moja, mpaka senti sita na nane.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Polisi wajiweka sawa
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejipanga vizuri kukabiliana na viashiria vya matukio ya kigaidi na ujambazi wa kutumia silaha katika ukanda wa Afrika Mashariki, anaripoti Asifiwe George kutoka Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, alisema watashirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha udhibiti wa matukio ya uhalifu au fujo zinazoweza kujitokeza, hasa katika kipindi hiki cha Sikukuu ya...
10 years ago
Michuzi05 Jan
IPTL yashusha bei ya umeme kwa asilimia 20
Marekebisho hayo yaliyotumia...
11 years ago
Michuzi10 May
Punguzo la bei ya umeme mwiba kwa washindani-IPTL
Chanzo cha uhakika kutoka Wizara ya Nishati na Madini kimetoa taarifa hiyo kwa gazeti hili jana kuwa kwa zaidi ya muongo mmoja, kampuni za kigeni zimekuwa zikipata faida kubwa kwa kuzalisha umeme na kuuza kwa bei ya juu nchini.
Kampuni ya IPTL ambayo inamilikiwa na kampuni ya...
10 years ago
Habarileo09 Mar
Mahakama Kuu yasitisha kesi ya IPTL kuuza hisa
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Biashara imesimamisha usikilizwaji wa shauri la kupinga kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kuuza hisa zake kwa kampuni ya Piper Link Investment Limited, ambayo kwa sasa ni Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP).
10 years ago
Vijimambo
Selcom Yapigwa Marufuku Kuuza Umeme wa LUKU

Serikali imefuta mkataba wake na kampuni ya Selcom iliyokuwa inauza umeme wa Luku kwa kile kilichodaiwa kuwa ni ubabaishaji katika kutoa huduma hiyo.
Pia kampuni hiyo, ambayo imekuwa ikinunua umeme wa jumla kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) imesitishiwa mkataba huo kutokana na kukiuka sheria na taratibu za ulipaji wa kodi.Hata hivyo, mkurugenzi mtendaji wa Selcom, Sameer Hirji hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo.
“Siwezi kuzungumzia chochote kuhusu hilo (mkataba). Tutakuwa na mkutano...
10 years ago
Habarileo05 Jan
IPTL yashusha bei ya umeme
KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), imetangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo.
11 years ago
Tanzania Daima08 May
IPTL yasisitiza kushusha bei ya umeme
KAMPUNI ya ufuaji umeme ya IPTL, imesema dhamira yake ya kushusha bei ya umeme kwa Watanzania ipo palepale. Katibu na mshauri wa masuala ya sheria wa kampuni hiyo, Joseph Makandege,...
11 years ago
Habarileo04 Jul
Umeme IPTL wafikia megawati 100
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100, ambacho ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake. Kiwango hicho kilifikiwa Juni 15 mwaka huu, huku uongozi wa kampuni hiyo ukiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.
10 years ago
GPL
TANGAZO LA KAZI KUUZA DUKA LA VIFAA VYA UJENZI NA UMEME