Wabunge wa Ukawa waikalia kooni Ikulu
>Mjadala wa bajeti mwaka 2015/16 umegeuka mwiba mchungu kwa Ofisi ya Rais baada ya mawaziri watatu waliopo katika ofisi hiyo kubanwa na wabunge wa upinzani hasa wale wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakisema “njaa imeanzia Ikulu na Ofisi ya Rais inayosimamia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) haina utashi wa kupambana na rushwa.â€
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Waangalizi Ulaya waikalia kooni ZEC
9 years ago
CHADEMA Blog
OMBI LA WABUNGE NA MADIWANI WA UKAWA MANISPAA YA KINONDONI KUIOMBA IKULU (OFISI YA RAIS) IUNDE TUME HURU
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Wabunge wa CCM wawakalia kooni mawaziri mizigo
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Ikulu: Rais hataidhinisha mamilioni ya wabunge
10 years ago
Mwananchi10 May
Wabunge wajiweka pembeni ‘vigogo’ waliosafishwa Ikulu
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Yanga Manzese waikalia Ahly
WANACHAMA wa Klabu ya Yanga, tawi la Manzese jijini Dar es Salaam, leo wanakutana kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo ikiwemo kusaidiana na uongozi kuelekea mechi ya awali ya raundi ya...
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
UKAWA wagusa Ikulu
UMOJA wa Katiba wa Wananchi (UKAWA), umedai kunasa mkakati wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutumia sh bilioni 2.5 kwa ajili ya kuendesha propaganda kwenye baadhi ya vyombo vya...
11 years ago
Mtanzania14 Aug
Ikulu yawagomea Ukawa

Baadhi ya viongozi wa Ukawa wakijadiliana jambo
SHABANI MATUTU, DAR NA FREDY AZZAH, DODOMA
SIKU moja baada ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kumtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha shughuli za Bunge Maalumu la Katiba, hatimaye Ikulu imeibuka na kusema haina mpango wa kulivunja.
Uamuzi huo wa Ikulu umetolewa jijini Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alipokuwa akizungumza na MTANZANIA.
Alisema Bunge Maalumu la Katiba lilianzishwa na linaendeshwa kwa...
11 years ago
Mtanzania15 Aug
Ikulu yawakatisha tamaa Ukawa

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
NA SHABANI MATUTU
MKURUGENZI wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salva Rweyemamu, amesema hata kama viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakikutana na Rais Jakaya Kikwete, hakuna kitakachobadilika kuhusu mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Salva alisema katu hatua hiyo haitaweza kusitisha Bunge hilo akiwataka warejee bungeni na kujenga hoja...