Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii Maarufu Rwanda Kiziti Mihigo Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama njama za kupindua serikali na kuua viongozi wake



Muimbaji maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kupindua serikali na kuua viongozi wake na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.


Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kupindua serikali na kua viongozi wake.

Mshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Muimbaji Maarufu Rwanda Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama Kumuua Rais Kagame.

Muimbaji maarufu wa Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kumuua Rais Kagame na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.
Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kumuua Rais Paul KagameMshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa ugaidi na matusi.Ameendelea kukataa mashtaka...

 

10 years ago

Bongo5

Mwanamuziki maarufu wa Rwanda afungwa miaka 10 jela kwa kupanga njama dhidi ya Rais Kagame

Mahakama ya Rwanda Ijumaa iliyopita ilimhukumu mwanamuziki maarufu wa nchini humo, Kizito Mihigo kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la kupanga njama dhidi ya serikali ya Rais Paul Kagame. Kizito Mihigo Mihigo alipatikana na hatia ya kuanzisha kundi la kihalifu na njama ya kutekeleza mauaji japo jaji alitupilia mbali makosa ya kuhusika kwenye vitendo […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Mazishi ya msanii maarufu wa Rwanda Kiziko Mihigo yafanyika

Msanii maarufu wa nyimbo za injili nchini Rwanda Kizito Mihigo ambaye aliripotiwa kujiua Jumatatu katika mahabusu ya polisi mjini Kigali nchini Rwanda anazikwa leo.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMHUKUMU MENEJA WA UKODI KWENDA JELA MIAKA MITANO KWA NJAMA ZA WIZI WA MIL.45.2

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoa wa Pwani, imemuhukumu aliyekuwa meneja wa kituo cha kuuza mafuta cha UKODI INTERNATIONAL COM LIMITED, Malima Charles miaka 40 mkazi wa Maili moja Kibaha, kwenda jela miaka mitano baada ya kumkuta na hatia katika makosa mawili yaliyokuwa yakimkabili ikiwemo kuvunja ofisi na wizi.
Akisoma hukumu hiyo iliyodumu kwa muda wa saa moja ambayo ilivuta hisia za wakazi wa Kibaha, Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Joyce Mushi, alieleza ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi ya Rwanda inasema msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo amejinyonga

Kwa mjibu wa tangazo la polisi maiti ya msanii huyo imepatikana katika chumba alimokuwa anazuiliwa kwenye kituo cha polisi mtaa wa Remera, mjini Kigali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Njama ya Nazi kuua watu kwa Malaria

Mwanabayologia mmoja nchini Ujerumani amesema amepata ushahidi kuwa utawala wa Nazi uliokuwa unaongozwa na Adolf Hitler, ulipanga kutumia Mbu kama silaha wakati wa vita vya pili vya dunia.

 

10 years ago

Mwananchi

Afungwa jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha

Mahakama ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro imemuhukumu kifugo cha miaka 30 jela, Stephan Moleli mkazi wa Ngereiyani Wilayani Siha kwa kosa la unyang’anyi kwa kutumia silaha.

 

9 years ago

Habarileo

Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua

MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani