Wabunge, Serikali wavutana gesi
WABUNGE wameishauri Serikali isifanye haraka kwa kuwasilisha bungeni miswada ya sheria kuhusiana na masuala ya mafuta na gesi kwa sababu mawazo yao hivi sasa yapo katika Uchaguzi Mkuu na wana mgogoro wa utulivu wa mawazo na fikra.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Wabunge wa DRC wavutana
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Wajumbe wavutana kuhusu wabunge kuwajibishwa, kuwa na ukomo katika #Katiba Mpya
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Serikali, Tume ya Uchaguzi wavutana
11 years ago
Mwananchi30 Jun
UWEKEZAJI: Serikali, Airtel wavutana hisa za TTCL
10 years ago
Vijimambo28 Oct
Wabunge wacharukia mikataba ya gesi asilia
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto-Kabwe-October28-2014.jpg)
Usiri katika mikataba 26 ya utafiti na uchimbaji wa gesi umezidi kuigubika nchi, baada ya menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kukaidi maagizo ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na hivyo kuzua mvutano mkubwa kati yake na kamati hiyo kikaoni.
Maagizo hayo ambayo yalitolewa na PAC mwaka jana, yaliitaka menejimenti ya TPDC kuwasilisha taarifa ya mapitio ya mikataba hiyo pamoja na mikataba...
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Wabunge wa CCM wametishwa kupitisha muswada wa gesi — Mbarouk
HIVI karibuni Bunge lilichafuka baada ya wabunge wa upinzani kugomea miswada ya mafuta na gesi kwa walichokieleza kuwa imeletwa kwa dharura. Mwandishi Wetu MARY VICTOR, amefanya mahojiano na mmoja wa wabunge wa upinzani kuelezea ni kwa nini walikuwa wanagomea miswada hiyo. Endelea…
Raia Tanzania: Kwa hiki kilichotokea bungeni kwa wabunge wa upinzani hususan wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupinga Muswada wa Sheria ya Petroli, Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na...
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Gesi yaizindua Serikali
10 years ago
Mwananchi16 Dec
‘Serikali ipunguze bei ya nishati ya gesi’
10 years ago
Mtanzania26 Mar
Pinda: Serikali imeandaa sheria ya gesi
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeandaa sera, taratibu na sheria madhubuti zitakazosimamia uvunwaji wa gesi nchini.
Pinda alisema hayo Dar es Salaama jana katika mkutano wa 20 wa Taasisi wa Uchumi na Umasikini (REPOA) uliokuwa uanajadili namna gani nchi inaweza kufaidika na matumizi ya gesi.
Alisema katika suala la gesi Serikali imejipanga kuepuka kuingiza watanzania katika machafuko.
“Hii rasilimali ya gesi inaweza kuwa baraka au inaweza kuwa laana...