Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gesi yaizindua Serikali

Uchumi wa mafuta na gesi ambao umekuwa kichocheo kikubwa cha jeuri ya kiuchumi kwa mataifa ya Amerika ya Kusini na Urusi umeanza kuyaunganisha baadhi ya mataifa ya Afrika, zikiwamo Tanzania na Msumbiji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Tecno yaizindua simu mpya, ni Phantom 5

Tecno Mobile Tanzania imezindua simu yake mpya, Phantom 5. Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana akiionesha simu ya Phantom 5 kwenye uzinduzi huo Uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana alidai kwenye uzinduzi huo kuwa Phantom 5 ni simu ya kisasa […]

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge, Serikali wavutana gesi

WABUNGE wameishauri Serikali isifanye haraka kwa kuwasilisha bungeni miswada ya sheria kuhusiana na masuala ya mafuta na gesi kwa sababu mawazo yao hivi sasa yapo katika Uchaguzi Mkuu na wana mgogoro wa utulivu wa mawazo na fikra.

 

11 years ago

Habarileo

Mkataba wa gesi Statoil, Serikali hadharani

SERIKALI imeondoa utata unaohusu mkataba wa gesi wa nyongeza baina yake na kampuni ya Norway ya Statoil, kwa kuanika wazi mgawanyo unaoonesha Tanzania itapata faida kubwa ya asilimia 61 wakati kampuni hiyo itapata asilimia 39.

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Serikali imeandaa sheria ya gesi

Mizengo-PindaNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeandaa sera, taratibu na sheria madhubuti zitakazosimamia uvunwaji wa gesi nchini.

Pinda alisema hayo Dar es Salaama jana katika mkutano wa 20 wa Taasisi wa Uchumi na Umasikini (REPOA) uliokuwa uanajadili namna gani nchi inaweza kufaidika na matumizi ya gesi.

Alisema katika suala la gesi Serikali imejipanga kuepuka kuingiza watanzania katika machafuko.

“Hii rasilimali ya gesi inaweza kuwa baraka au inaweza kuwa laana...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Serikali ipunguze bei ya nishati ya gesi’

Kaimu katibu tawala wa Mkoa wa Pwani, Shangwe Twalama amesema Serikali inapaswa kuweka utaratibu wa kupunguza bei ya gesi ili wananchi waendelee kununua.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yajipanga kulinda miundombinu ya gesi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi amesema Serikali itaingia mkataba na vijiji husika ili kulinda miundombinu ya bomba la gesi lililopita kwenye maeneo yao isiharibiwe na kuhujumiwa .

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali yatakiwa kusimamia gesi kwa maendeleo ya taifa


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imeshauriwa kuwekeza mapato ya rasilimali zake hususan mafuta na gesi ili kuleta maendeleo endelevu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadaye.
Vile vile imetakiwa kuhaikisha matumizi ya ndani kwenda sambamba  na mapato hayo ikiwemo kuongeza tija katika matumizi ya sekta za umma katika ngazi zote.   
Mkurugenzi wa kampuni ya Pan African Energy, Patrick Rutabanzibwa, alisema hayo jijini Dar es Salaam jana kwenye mkutano wa kujadili mikakati ya kuhakikisha rasilimali...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ichague karata sahihi gesi iwanufaishe Watanzania

Wadau mbalimbali wa sekta ya gesi wamekuwa wakilalamikia Serikali kutokana na hofu kuhusu mgawanyo sawa wa rasilimali ya gesi asilia na ushiriki wa wazawa kwenye sekta hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali: Nishati ya gesi asilia itaipaisha nchi kiuchumi

Utafiti wa mafuta na gesi asilia ulianza miaka ya 1950, lakini kutokana na teknolojia duni na hali ya uchumi wa taifa wakati huo, zoezi hilo lilisitishwa. Taarifa za kupatikana kwa rasilimali hiyo muhimu kulifufua matumaini ya Serikali kuimarisha uchumi wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani