Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema, CUF wavutana Musoma

Vyama vya CUF na Chadema ambavyo ni miongoni mwa vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kila kimoja kimeeleza kitasimamisha mgombea ubunge Musoma Mjini kinyume na makubaliano yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

CUF na Chadema Moro wavutana kuachiana majimbo

CHAMA cha Wananchi (CUF) katika wilaya ya Morogoro Vijijini kichama na Kilosa mkoa wa Morogoro, kimejikuta kikiingia kwenye mvutano mkubwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutokana na kushindwa kuachiana majimbo ya uchaguzi wa ubunge.

 

9 years ago

StarTV

Wanachama wa CUF wavutana Tanga  

Wanachama  zaidi ya mia moja wa chama cha wananchi CUF wilaya ya Pangani Mkoani Tanga wametishia kujeresha kadi zao za chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa..

Madai ya wanachama hao ni kutaka kurejeshwa kwa jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Amina Mwidau kwa kuwa ndiye aliyeshinda kwenye kura za maoni na kuliondoa jina na Saumu Sakala aliyeshika nafasi ya pili kwenye mchakato wa kura za maoni.

 Wananchi wa chama cha wanchi CUF waliokuwa wakitishia kukihama chama hicho kufuatia...

 

10 years ago

Mtanzania

CCM, CUF wavutana vurugu Zanzibar

baloz Seif IddNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) umelaani na kusikitishwa na kauli za viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kuitupia lawama CCM kwa kudai imehusika katika kushambuliwa wafuasi wao.
Wakati CCM wakitoa kauli hiyo, CUF kimemtupia lawama Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), Balozi Seif Ali Idd kuwa ndiye amekuwa akitoa kauli za kuchochea vurugu visiwani humo.
Taarifa ya UVCCM Zanzibar kulaani matamshi hayo ilitolewa jana kwa vyombo vya habari na...

 

10 years ago

Mwananchi

Vyama vya CCM, CUF wavutana kura ya maoni Zanzibar

Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kitafanya kampeni maalumu kuhakikisha kura ya maoni ya Katiba ya Muungano inashinda Zanzibar, Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kinajipanga kufanya kampeni nzito kupinga rasimu hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Chadema wavutana uchaguzi wa Meya

MVUTANO umezuka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupinga uongozi wa juu wa chama hicho kuahirisha uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Jiji la Arusha uliotakiwa kufanyika Ijumaa iliyopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema na CCM wavutana Kalenga

Kalenga. Ikiwa siku zinasogea kwa kasi kwa ajili ya uchaguzi wa kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge jimboni hapa, Dk William Mgimwa, wagombea wa vyama vikuu pinzani wameendelea na kampeni zao kwa kutumia mbinu zenye mvuto wa aina yake.

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA: MKUTANO WA CHADEMA MUSOMA

Mkutano wa Chadema mji wa Musoma ukiwa umehudhuriwa na mtu nyomi.Chadema wakiwa Musoma mkoani Mara wakiungurumaUmati wa watu wakiwa kwenye mkutano wa Chadema Musoma mkoani Mara.

 

10 years ago

Vijimambo

BASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA

 Basi la Musoma Express lenye namba za usajili T138 BDQ lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Musoma limepata ajali majira ya saa 4 usiku  katika kijiji cha usanda shinyanga vijijini .
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.

Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume  mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
 wakizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

BIASHARA UNITED MUSOMA YAIBAMIZA POLISI VETERAN YA MUSOMA MABAO 2-0

Timu ya soka ya Biashara United ya mjini Musoma Mkoani Mara (pichani) inayojiandaa kwa  mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya soka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mwishoni mwa wiki imewabamizia Timu ya Polisi Veteran ya Mjini Musoma mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume mjini Shinyanga.Mchezo huo ambao ulikuwa na kila aina ya ufundi kutoka kwa wachezaji wa timu zote kipindi cha kwanza kilimalizika baada ya timu hizo kutosha nguvu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani