CCM, CUF wavutana vurugu Zanzibar
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) umelaani na kusikitishwa na kauli za viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kuitupia lawama CCM kwa kudai imehusika katika kushambuliwa wafuasi wao.
Wakati CCM wakitoa kauli hiyo, CUF kimemtupia lawama Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), Balozi Seif Ali Idd kuwa ndiye amekuwa akitoa kauli za kuchochea vurugu visiwani humo.
Taarifa ya UVCCM Zanzibar kulaani matamshi hayo ilitolewa jana kwa vyombo vya habari na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Oct
Vyama vya CCM, CUF wavutana kura ya maoni Zanzibar
11 years ago
Tanzania Daima22 Sep
CCM wafanya vurugu mkutano wa CUF
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wafuasi wao wanadaiwa kuvamia eneo la mkutano uliokuwa umeandaliwa na Chama cha Wananchi (CUF), eneo la Buguruni jijini Dar es Salaam kwa ajili...
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Vurugu zaibuka mkutanoni, wagombea wavutana
10 years ago
Michuzi
CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...
10 years ago
Mtanzania02 Apr
CCM wataka tume vurugu Zanzibar
Na Is-haka Omar, Zanzibar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimeitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa vibaya wafuasi 25 wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokuwa wanatoka katika mkutano Makunduchi hivi karibuni.
Kauli hiyo ya CCM imekuja siku chache baada ya CUF, kuishutumu kuhusika na tukio la kupigwa na kujeruhiwa kwa wafuasi wake.
Akizungumza na MTANZANIA jana mjini Unguja, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Vuai Ali Vuai, alikana chama chao kuhusika na kutukio...
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Chadema, CUF wavutana Musoma
9 years ago
StarTV10 Nov
Wanachama wa CUF wavutana Tanga Â
Wanachama zaidi ya mia moja wa chama cha wananchi CUF wilaya ya Pangani Mkoani Tanga wametishia kujeresha kadi zao za chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa..
Madai ya wanachama hao ni kutaka kurejeshwa kwa jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Amina Mwidau kwa kuwa ndiye aliyeshinda kwenye kura za maoni na kuliondoa jina na Saumu Sakala aliyeshika nafasi ya pili kwenye mchakato wa kura za maoni.
Wananchi wa chama cha wanchi CUF waliokuwa wakitishia kukihama chama hicho kufuatia...
10 years ago
Habarileo24 Aug
CUF na Chadema Moro wavutana kuachiana majimbo
CHAMA cha Wananchi (CUF) katika wilaya ya Morogoro Vijijini kichama na Kilosa mkoa wa Morogoro, kimejikuta kikiingia kwenye mvutano mkubwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutokana na kushindwa kuachiana majimbo ya uchaguzi wa ubunge.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
CHADEMA yavilipua CCM, CUF Zanzibar
WAKATI Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ikitimiza miaka mitatu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema mfumo wa serikali hiyo Zanzibar umeshindwa kudhibiti ufisadi na kuua dhana ya demokrasia...