Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM wafanya vurugu mkutano wa CUF

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wafuasi wao wanadaiwa kuvamia eneo la mkutano uliokuwa umeandaliwa na Chama cha Wananchi (CUF), eneo la Buguruni jijini Dar es Salaam kwa ajili...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

CCM, CUF wavutana vurugu Zanzibar

baloz Seif IddNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) umelaani na kusikitishwa na kauli za viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kuitupia lawama CCM kwa kudai imehusika katika kushambuliwa wafuasi wao.
Wakati CCM wakitoa kauli hiyo, CUF kimemtupia lawama Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), Balozi Seif Ali Idd kuwa ndiye amekuwa akitoa kauli za kuchochea vurugu visiwani humo.
Taarifa ya UVCCM Zanzibar kulaani matamshi hayo ilitolewa jana kwa vyombo vya habari na...

 

10 years ago

Michuzi

CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakutana Zanzibar Januari 13, kwa kikao cha kawaida cha siku moja chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete. 
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...

 

9 years ago

Mwananchi

CUF Z’bar wadai CCM imevunja mkutano wao

Chama cha Wananchi (CUF) kimedai wafuasi wa CCM walivuruga mkutano wa kampeni za mgombea wao wa urais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad uliofanyika juzi kwenye Viwanja vya Kwa-Binti Amrani, Wilaya ya Mjini Unguja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji wafanya vurugu Uturuki

Maelfu ya waandamanaji waliokuwa wakipepea bendera za Uturuki wamevamia makao makuu ya chama kikuu cha Kikurdi cha HDP.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji wafanya vurugu St.Louis

Waandamanaji wamefanya vurumai na vitendo vya uporaji jimboni St Louis

 

10 years ago

Habarileo

Wastaafu wafanya vurugu kushinikiza pensheni zao

WASTAAFU kutoka taasisi mbalimbali za Serikali, walifanya vurugu katika ofisi ya Wizara ya Fedha (Hazina) juzi baada ya kutolipwa pensheni zao za Oktoba na kushinikiza wapatiwe stahiki zao kwa wakati.

 

11 years ago

Habarileo

Wabeba mizigo wafanya vurugu kubwa Kibaigwa

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, David MisimeWABEBA mizigo wa Soko Kuu la Mazao la Kibaigwa juzi wakiwa na vijana wanaokadiriwa 300 walifanya fujo kwa kufunga barabara kuu ya Dodoma – Morogoro kwa mawe na kuchoma matairi huku wakipiga mawe magari yaliyokuwa yakipita barabarani.

 

11 years ago

Habarileo

CUF wafanya mageuzi makubwa

MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) umeridhia uwepo wa ngazi ya uongozi wa jimbo, ili ufanane na mfumo wa vyama vingine vya upinzani nchini, kwa lengo la kuimarisha mshikamano.

 

9 years ago

Habarileo

Polisi wazima vurugu za CUF Mji Mkongwe

WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani