Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabeba mizigo wafanya vurugu kubwa Kibaigwa

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, David MisimeWABEBA mizigo wa Soko Kuu la Mazao la Kibaigwa juzi wakiwa na vijana wanaokadiriwa 300 walifanya fujo kwa kufunga barabara kuu ya Dodoma – Morogoro kwa mawe na kuchoma matairi huku wakipiga mawe magari yaliyokuwa yakipita barabarani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji wafanya vurugu St.Louis

Waandamanaji wamefanya vurumai na vitendo vya uporaji jimboni St Louis

 

9 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji wafanya vurugu Uturuki

Maelfu ya waandamanaji waliokuwa wakipepea bendera za Uturuki wamevamia makao makuu ya chama kikuu cha Kikurdi cha HDP.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM wafanya vurugu mkutano wa CUF

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wafuasi wao wanadaiwa kuvamia eneo la mkutano uliokuwa umeandaliwa na Chama cha Wananchi (CUF), eneo la Buguruni jijini Dar es Salaam kwa ajili...

 

10 years ago

Habarileo

Wastaafu wafanya vurugu kushinikiza pensheni zao

WASTAAFU kutoka taasisi mbalimbali za Serikali, walifanya vurugu katika ofisi ya Wizara ya Fedha (Hazina) juzi baada ya kutolipwa pensheni zao za Oktoba na kushinikiza wapatiwe stahiki zao kwa wakati.

 

10 years ago

Vijimambo

VURUGU KUBWA ZAZUKA TUNDUMA


Wakazi wa Mji wa Tunduma, Wilaya ya Momba, Mbeya wakiangalia moto uliowashwa katikati ya Barabara ya Tunduma-Sumbawanga jjana baada ya kutokea vurugu baina ya wananchi na askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia.
Tumepata habari za kusikitisha kutoka Tunduma mkoani Mbeya kwamba, kwa siku tatu mfululizo, mji huo, ambao ni lango la biashara kusini mwa Tanzania, uligeuka uwanja wa mapambano kati ya Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) na makundi ya vijana.Taarifa ya Jeshi la Polisi ilisema kwamba vurugu...

 

10 years ago

Mwananchi

Vurugu Kubwa Iringa, Polisi na wananchi wapambana.

Vurugu Kubwa eneo la Ilula Mkoani Iringa, Polisi na wananchi wapambana.

 

9 years ago

Vijimambo

WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAFANYA IBADA KUBWA YA EID EL HAJJ KATIKA VIWANJA VYA BARAFU MIJINI DODOMA

 Ustaadh Yahaya Kiduma akitoa mawadha ya Dini ya Kiislamu katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma wakati wa Swala ya Eid El Haji iliyoandaliwa na kamati ya Sherehe za Dini hiyo mkoani humo.Shekh wa Msikiti wa Nunge Ahmed Zuber akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani mara baada ya kumaliza kuswalisha Swala ya Eid El Haji katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.  Waumini wa Dini ya Kiislamu wakifanya Ibada ya Eid El Haji katika uwanja wa Jamhuri, ambapo ibada hiyo iliandaliwa na kamati ya...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWWZZZZ: VIJANA WANAODAIWA KUWA NI PANYA ROAD WAFUNGA MITAA JIJINI DAR NA KUFANYA VURUGU KUBWA.

 katika hali isiyo ya Kawaida na ya kuogopesha,kumeibuka taharuki kubwa usiku huu kwa Wakazi wa maeneo mbalimabali ya jiji la Dar,ikiwemo,Sinza,Kinondoni,Mwananyamala,Mabibo,Magomeni,Manzese,Kagera na Mburahati kwa kile kinachoelezwa kuwa vijana waitwao Panya Road wamevamia maeneo hayo na kuwajeruhi watu kwa vitu vyenye ncha kali,visu na mapanga na kuwapora vitu (mali zao) walivyokuwa navyo,kama vile haitoshi baadhi yao wamevunjiwa vioo vya magari yao.
Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Uongozi wa kampuni ya NAKHEEL, ambayo ndio kampuni kubwa ya Serikali Dubai watembelea NHC, wafanya Mazungumzo

unnamed

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga (kulia) akiongozana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel ambayo ndio kampuni kubwa ya Serikali Dubai ambayo ni wawekezaji wakubwa duniani katika sekta ya uendelezaji miliki, Rashid Ahmed Lootah, kuingia kwenye chumba cha mikutano cha Ofisi za Mkurugenzi Mkuu wa NHC jiji Dar es Salaam jana, nyuma yake ni Mkurugenzi Mkuu wa Ujenzi wa Miradi wa Kampuni hiyo, Masood Al Zarooni na Injinia Fawzi Al Shah ambaye ni Mkurugenzi wa Udhibiti na Mipango Miji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani