WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAFANYA IBADA KUBWA YA EID EL HAJJ KATIKA VIWANJA VYA BARAFU MIJINI DODOMA
Ustaadh Yahaya Kiduma akitoa mawadha ya Dini ya Kiislamu katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma wakati wa Swala ya Eid El Haji iliyoandaliwa na kamati ya Sherehe za Dini hiyo mkoani humo.
Shekh wa Msikiti wa Nunge Ahmed Zuber akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani mara baada ya kumaliza kuswalisha Swala ya Eid El Haji katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakifanya Ibada ya Eid El Haji katika uwanja wa Jamhuri, ambapo ibada hiyo iliandaliwa na kamati ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aungana na waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Eid El-Haji Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid El- Hajim iliyoswaliwa katika Msikiti wa Istiqaama, jijini Dar es Salaam, jana. Wa pili (kulia) ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki swala ya Sikukuu ya Eid El- Hajim...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-661Fcz_4ByQ/VarAURS-yuI/AAAAAAAHqYA/3UDQf735u8c/s72-c/001.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA
![](http://3.bp.blogspot.com/-661Fcz_4ByQ/VarAURS-yuI/AAAAAAAHqYA/3UDQf735u8c/s640/001.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-q2u3VZ8MWZk/VarAZln07LI/AAAAAAAHqYc/rHDIa-ej-k0/s640/008.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ERkWyqk3HPk/VapVhU56ddI/AAAAAAADybE/F3BeNELG2C0/s72-c/001.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-ERkWyqk3HPk/VapVhU56ddI/AAAAAAADybE/F3BeNELG2C0/s640/001.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0QcYaM2MJYA/VapViwsgZWI/AAAAAAADybg/5HNvxxclVao/s640/008.jpg)
11 years ago
Dewji Blog29 Jul
Waumini wa dini ya Kiislamu mkoa wa Singida, waungana na wenzao kusherehekea siku kuu ya Eid El-Fitr
Sheikh wa mkoa wa Singida na Meya Mstahiki wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akitoa mawaidha yake kwenye kilele cha Siku kuu ya Eid El-Fitr kilichofanyika kwenye uwanja wa Namfua leo. Pamoja na mambo mengine, Sheikh Mahami amekisihi kikundi cha Ukawa kurudi Bungeni, ili waweze kuwapatia Watanzania Katiba itakayokidhi mahitaji ya zaidi ya miaka 50 ijayo.
Imamu wa msikiti wa Utemini, Jumanne Maghasi, akisoma dua kwenye kilele cha maadhimisho ya siku kuu ya Eid...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Y8BSg_F8dfc/Xq7YB-cInwI/AAAAAAALo9E/SHhntzH-bMg42wifbuJyM1_VwDejaNLoQCLcBGAsYHQ/s72-c/magufuli-1.jpg)
DK.MAGUFULI AWASHANGAA VIONGOZI WA DINI WANAOZUIA WAUMINI WAO KWENDA NYUMBA ZA IBADA, AWATAKA KUSIMAMA KATIKA VIAPO VYAO
RAIS Dk.John Magufuli amesema kutokana na uwepo wa ugonjwa Covid-19 kuna baadhi ya viongozi wa dini wamemsahau Mungu ambaye wamekuwa wakituhubiria waumini wao kwa siku zote.
Akizungumza leo Mei 3 mwaka 2020, Rais Magufuli amesema kuwa inashangaza unapoona viongozi wa dini wanamsahau Mungu kwasababu tu ya uwepo wa Corona."Licha ya kuapa kwa dini zao, wamemuacha Mungu na kwenda kubaki kujali ubinadamu.Ndio wamekuwa wakihamasisha kuwaambia wamumini acheni kwenda...
10 years ago
GPLWAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAWATEMBELEA WAGONJWA, HOSPITALI YA PALESTINA
9 years ago
StarTV29 Dec
Waumini wa Kiislamu Singida wafanya dua maalum kumuombea Magufuli.
Waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Singida wamefanya dua maalum ya kumuombea Rais John Pombe Magufuli ili Mungu ampe afya njema, nguvu na ujasiri wa kuendelea kupambana na wezi wa mali za umma, ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka pamoja na vitendo vya ufisadi nchini.
Lengo ni kuhakikisha kuwa Rais Magufuli anajenga uaminifu na uadilifu miongoni mwa watumishi wa umma kwa kutumia kauli mbiu yake ya kutumbua majipu ili kurejesha imani zaidi kwa wananchi.
Katika Msikiti wa Mhajirina uliopo...
11 years ago
GPLWAZIRI WA MAJI PROF,MAGHEMBE AFUTURISHA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU JIMBONI KWAKE