WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAWATEMBELEA WAGONJWA, HOSPITALI YA PALESTINA
Waumini hao wakimjulia hari majeruhi wa ajali ya pikipiki alitelekezwa hospitalini hapo na rafiki zake. Hapa wakimtembelea mgonjwa mwingine. Waumini hao wakijadiliana kwa muda kabla ya kufanya dua kwa wagonjwa wote. Waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka Msikiti wa An nuru uliopo Sinza, Palestina jijini Dar mapema leo hii wamewatembelea…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWAZIRI WA MAJI PROF,MAGHEMBE AFUTURISHA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU JIMBONI KWAKE
11 years ago
Dewji Blog29 Jul
Waumini wa dini ya Kiislamu mkoa wa Singida, waungana na wenzao kusherehekea siku kuu ya Eid El-Fitr
Sheikh wa mkoa wa Singida na Meya Mstahiki wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akitoa mawaidha yake kwenye kilele cha Siku kuu ya Eid El-Fitr kilichofanyika kwenye uwanja wa Namfua leo. Pamoja na mambo mengine, Sheikh Mahami amekisihi kikundi cha Ukawa kurudi Bungeni, ili waweze kuwapatia Watanzania Katiba itakayokidhi mahitaji ya zaidi ya miaka 50 ijayo.
Imamu wa msikiti wa Utemini, Jumanne Maghasi, akisoma dua kwenye kilele cha maadhimisho ya siku kuu ya Eid...
9 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboWAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAFANYA IBADA KUBWA YA EID EL HAJJ KATIKA VIWANJA VYA BARAFU MIJINI DODOMA
11 years ago
Dewji Blog06 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aungana na waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Eid El-Haji Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid El- Hajim iliyoswaliwa katika Msikiti wa Istiqaama, jijini Dar es Salaam, jana. Wa pili (kulia) ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki swala ya Sikukuu ya Eid El- Hajim...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA.


10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA


9 years ago
StarTV29 Dec
Waumini wa Kiislamu Singida wafanya dua maalum kumuombea Magufuli.
Waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Singida wamefanya dua maalum ya kumuombea Rais John Pombe Magufuli ili Mungu ampe afya njema, nguvu na ujasiri wa kuendelea kupambana na wezi wa mali za umma, ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka pamoja na vitendo vya ufisadi nchini.
Lengo ni kuhakikisha kuwa Rais Magufuli anajenga uaminifu na uadilifu miongoni mwa watumishi wa umma kwa kutumia kauli mbiu yake ya kutumbua majipu ili kurejesha imani zaidi kwa wananchi.
Katika Msikiti wa Mhajirina uliopo...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, BALOZI SEIF AWASIHI WAUMINI WA KIISLAMU KUFUTURU PAMOJA

Waumini wa Dini ya Kiislamu Nchini wanapaswa kuurejesha tena utamaduni wao wa asili wa kufutari pamoja nje ya Nyumba zao kama walivyokuwa wakifanya wazee wa zamani ili kuongeza upendo baina yao.
Ukumbusho huo umetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya futari ya pamoja iliyotayarishwa na Kampuni ya Vitega Uchumi ya Jamani na kuwashirikisha baadhi ya...