Wanachama wa CUF wavutana Tanga Â
Wanachama zaidi ya mia moja wa chama cha wananchi CUF wilaya ya Pangani Mkoani Tanga wametishia kujeresha kadi zao za chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa..
Madai ya wanachama hao ni kutaka kurejeshwa kwa jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Amina Mwidau kwa kuwa ndiye aliyeshinda kwenye kura za maoni na kuliondoa jina na Saumu Sakala aliyeshika nafasi ya pili kwenye mchakato wa kura za maoni.
Wananchi wa chama cha wanchi CUF waliokuwa wakitishia kukihama chama hicho kufuatia...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Chadema, CUF wavutana Musoma
10 years ago
Mtanzania01 Apr
CCM, CUF wavutana vurugu Zanzibar
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) umelaani na kusikitishwa na kauli za viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kuitupia lawama CCM kwa kudai imehusika katika kushambuliwa wafuasi wao.
Wakati CCM wakitoa kauli hiyo, CUF kimemtupia lawama Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), Balozi Seif Ali Idd kuwa ndiye amekuwa akitoa kauli za kuchochea vurugu visiwani humo.
Taarifa ya UVCCM Zanzibar kulaani matamshi hayo ilitolewa jana kwa vyombo vya habari na...
10 years ago
Habarileo24 Aug
CUF na Chadema Moro wavutana kuachiana majimbo
CHAMA cha Wananchi (CUF) katika wilaya ya Morogoro Vijijini kichama na Kilosa mkoa wa Morogoro, kimejikuta kikiingia kwenye mvutano mkubwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutokana na kushindwa kuachiana majimbo ya uchaguzi wa ubunge.
11 years ago
Mwananchi11 Oct
Vyama vya CCM, CUF wavutana kura ya maoni Zanzibar
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
CUF yahimiza wanachama kuwania uongozi
CHAMA cha Wananchi (CUF) Wilaya Bukoba Mjini, mkoani Kagera, kimewataka wanachama na wakereketwa wa chama hicho kuhamasishana kukipa nguvu chama pamoja na kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi katika...
11 years ago
Mwananchi27 Jun
Wanachama 34 CUF wawakataa Seif, Lipumba
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Wanachama wavamia ofisi za CUF Dar
10 years ago
Habarileo18 Feb
CUF yapata wanachama wapya 891
CHAMA cha Wananchi (CUF) mjini Lindi kimepata wanachama wapya kutoka CCM wapatao 891 kuanzia mwezi Desemba mwaka jana hadi Februari mwaka huu.
10 years ago
GPL
WANACHAMA WAWILI WA CUF WAPIGWA RISASI ZANZIBAR