BIASHARA UNITED MUSOMA YAIBAMIZA POLISI VETERAN YA MUSOMA MABAO 2-0
![](http://1.bp.blogspot.com/-KflJpP97m_E/U7MCleu3tMI/AAAAAAAFuAM/8x2XjBMh9Fs/s72-c/unnamed+(12).jpg)
Timu ya soka ya Biashara United ya mjini Musoma Mkoani Mara (pichani) inayojiandaa kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya soka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mwishoni mwa wiki imewabamizia Timu ya Polisi Veteran ya Mjini Musoma mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume mjini Shinyanga.Mchezo huo ambao ulikuwa na kila aina ya ufundi kutoka kwa wachezaji wa timu zote kipindi cha kwanza kilimalizika baada ya timu hizo kutosha nguvu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-CSvqWNnkoJg/VHCK9-cxGaI/AAAAAAAAEvU/-e1VFarx8rw/s72-c/MUSOMA%2BEXPRESS.jpg)
BASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-CSvqWNnkoJg/VHCK9-cxGaI/AAAAAAAAEvU/-e1VFarx8rw/s1600/MUSOMA%2BEXPRESS.jpg)
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.
Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
wakizungumza na...
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Polisi Musoma kuweka kituo maalumu Wilayani Butiama
10 years ago
Michuzi05 Nov
tangazao la msiba musoma
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Mauaji ya kutisha Musoma
WATU watano wameuawa kikatili kwa kuchinjwa, kukatwa mapanga katika mfululizo wa matukio ya mauaji ya kinyama yanayoendelea kutokea katika wilaya za Musoma, Butiama na Rorya mkoani Mara. Kibaya zaidi, mauaji...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08csMAtQ7T*pA58r-UGJ1jGOl2yLVk-QVVR7WQ9zIaI5hKiAEY5Y1DXDDfnPDXaIA4wDLusAYPTQNDZDO7E2aAeMV/breakingnews.gif)
AJALI YAUA 35 MUSOMA
Ajali hiyo imetokea baada ya basi la Kampuni ya J4 Express lenye namba za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari mkoani Mara kuligonga ubavuni gari dogo aina ya Nissan Terano lenye namba za usajili T 332 AKK na kulitupa mtoni kisha kugongana uso kwa uso na basi lingine la Kampuni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v3DYtXKaFNqRYeXMviWMp60BG7aU0jJE5q79G3VJrsh9NDFoEkkoMH8gSyt5ePPN9Ufvqb7zraaKQ5o-P5IAwpacef1DAKqi/MGOMO.jpg)
WAFANYABIASHARA MUSOMA WAGOMA
10 years ago
Daily News08 Apr
Three killed in Musoma accident
Daily News
THREE people died on the spot and four others injured in a road accident involving a Toyota Noah in Mara Region, police reported on Tuesday. The accident occurred on Monday along Bunda - Musoma highway, according to the Mara Regional Police ...
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Ajali yaua 35 Musoma
WATU zaidi ya 37 wameripotiwa kufariki dunia papo hapo na wengine zadi ya 70 kujeruhiwa vibaya, baada ya mabasi mawili kugongana yakihusisha pia gari dogo moja katika ajali iliyotokea eneo...
9 years ago
TheCitizen16 Nov
Musoma readies itself for El nino