Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


tangazao la msiba musoma

Bwana Abiud Maregesi wa Kijitonyama Dar Es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha Mama yake mzazi, Mama Martha Maregesi, kilichotokea Jumanne, tarehe 04 Novemba 2014 katika Hospital ya Rufaa ya Musoma.  Mazishi yatafanyika Alhamisi tarehe 06 November 2014 kijiji Seka Majita Musoma.  Habari ziwafikie Ndugu, Jamaa na Marafiki popote walipo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA

 Basi la Musoma Express lenye namba za usajili T138 BDQ lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Musoma limepata ajali majira ya saa 4 usiku  katika kijiji cha usanda shinyanga vijijini .
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.

Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume  mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
 wakizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

BIASHARA UNITED MUSOMA YAIBAMIZA POLISI VETERAN YA MUSOMA MABAO 2-0

Timu ya soka ya Biashara United ya mjini Musoma Mkoani Mara (pichani) inayojiandaa kwa  mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya soka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mwishoni mwa wiki imewabamizia Timu ya Polisi Veteran ya Mjini Musoma mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume mjini Shinyanga.Mchezo huo ambao ulikuwa na kila aina ya ufundi kutoka kwa wachezaji wa timu zote kipindi cha kwanza kilimalizika baada ya timu hizo kutosha nguvu ya...

 

9 years ago

Michuzi

TANGAZAO KWA WASAMALIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA


Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.
Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa tunaomba...

 

11 years ago

Michuzi

SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI GOOD NEWS! TANGAZAO LA KUHAMA OFISI

 Ndugu zanguni,   Tunapenda kuwapa habari njema watu wote kuwa kuanzia tarehe 01/05/2014 Kampuni yetu inayomilikiwa na Watanzania waishio UK, inahamishia ofisi zake ndani ya bandari kubwa kuliko zote za kusafirisha magari UK , PORT OF TILBURY.   Sisi tutakuwa weusi wa kwanza kabisa kupewa ofisi ndani ya hii bandari na hivyo majina yetu kuingia kwenye historia. Na serikali imetukubali baada ya kuona jinsi tulivyoweza kujibeba kutoka kwenye kiosk mpaka tulipo.  Mkumbuke Serengeti ilianzishwa...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mauaji ya kutisha Musoma

WATU watano wameuawa kikatili kwa kuchinjwa, kukatwa mapanga katika mfululizo wa matukio ya mauaji ya kinyama yanayoendelea kutokea katika wilaya  za Musoma, Butiama na Rorya mkoani Mara. Kibaya zaidi, mauaji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua 35 Musoma

WATU zaidi ya 37 wameripotiwa kufariki dunia papo hapo na wengine zadi ya 70 kujeruhiwa vibaya, baada ya mabasi mawili kugongana yakihusisha pia gari dogo moja katika ajali iliyotokea eneo...

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA 35 MUSOMA

WATU zaidi ya 35 wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyoyahusisha magari matatu, mawili mabasi ya abiria na moja gari dogo aina ya Nissan Terano leo asubuhi eneo la SabaSaba, mjini Musoma.
Ajali hiyo imetokea baada ya basi la Kampuni ya J4 Express lenye namba za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari mkoani Mara kuligonga ubavuni gari dogo aina ya Nissan Terano lenye namba za usajili T 332 AKK na kulitupa mtoni kisha kugongana uso kwa uso na basi lingine la Kampuni...

 

9 years ago

TheCitizen

Musoma readies itself for El nino

Musoma municipal council has set aside more than Sh38 million to improve its drainage infrastructures as it gets ready for El nino rains.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani