Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri Membe ahudhuria msiba wa Mzazi wa Felista Rugambwa

Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa heshima za mwisho kwenye Kanisa la Anlikana la Mt. Joseph, kumuaga Mzee Rugambwa ambaye ni baba wa mtumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Idara ya Ulaya na Marekani Bi. Felista Rugambwa Jumamosi Julai 5, 2014.  Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara John Haule na Mkurugenzi wa Idaho ya Ulaya na Marekani Balozi Joseph...

 

10 years ago

Vijimambo

DR WILBROAD SLAA AHUDHURIA MSIBA WA CAPTAIN JOHN KOMBA

Katibu mkuu wa CHADEMA DR Wilbroad Slaa akitia saini kitabu cha Wageni alipofika kuhudhuria msiba wa Kada Maaarufu wa CCM Ambaye Pia Mbunge wa Mbinga Magharibi Captain John Komba.

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Bilal aongoza waombeleza msiba wa John Nyerere

johnNa Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal jana aliongoza mamia ya waombolezaji wakiwamo viongozi wa vyama na Serikali kuaga mwili wa mtoto wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere, John Nyerere.
Mbali na Dk. Bilal viongozi wengine waliokuwapo ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mke wa Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete.
Akisoma wasifu wa marehemu, mdogo wake, Makongoro...

 

10 years ago

Vijimambo

MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE

 Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.
Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini  Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa Kapteni wa Jeshi la Wananchi  Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita.Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni  kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na  kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mramba azungumzia uchumi kwenye msiba wa John Nyerere

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba amesema kupungua kwa umaskini kunakoelezwa na baadhi ya wataalamu na wasomi ni suala la kitakwimu ambalo ni gumu kulithibitisha.

 

10 years ago

Michuzi

MZEE MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE

 Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita.
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya kumng'oa...

 

10 years ago

Vijimambo

VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA KUHANI MSIBA WA KAPTEN KOMBA

 Waziri Mkuu Mstaafu,Mh Edward Lowasa akisaini kitabu cha maombolezo alipofika nyumban kwa Marehem Capt. J komba kuwapa pole wanafamilia na ndg Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba. Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akimpa pole mke wa marehemu Kapteni John Komba.

  Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisalimiana na wasanii wa TOT wakati akiwasili msibani.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa  Nape Nnauye...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani