Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete aomboleza msiba wa John Nyerere leo

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aomboleza kifo cha John Nyerere

jon

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salama za rambirambi kwa mama Maria Nyerere na familia yake kwa kuondokewa na mmoja wa wana familia yake, Bw. John Nyerere aliyefariki Jumamosi Mei 9,2015 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam

Pamoja na salamu hizi, Rais Kikwete ambaye yuko nchini Alrgeria kwa ziara ya kikazi, amefanya mawasiliano binafsi na Mama Maria na kumpa pole kwa kuondokewa na kijana wake.

“Hakuna mzazi anayependa kuondokewa na mwanae, ni kitu kigumu sana  kwa mzazi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aomboleza kifo cha Mwandishi wa TV Mlimani Maximilian John

0L7C0709

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na marehemu Papaa Max wa Mlimani TV enzi za uhai wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari Mheshimiwa Dkt.Fenella Mukangara kufuatia kifo cha Mpiga picha wa kituo cha television cha Mlimani, Ndugu Maximilian John kilichotokea alfajiri ya kuamkia leo tarehe 24 Mei,2014..

“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Bwana Maximilian kilichotokana na maradhi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aifariji familia ya Nyerere kufuatia kifo cha John Nyerere


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo leo asubuhi nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye John Nyerere kilichotokea hivi karibuni.Aliyesimama pembeni ya Rais ni mdogo wa marehemu Makongoro Nyerere.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya marehemu John Nyerere nyumbani kwao Msasani jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mjane wa Baba wa Taifa,...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA BW. JOHN NYERERE


Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salama za rambirambi kwa mama Maria Nyerere na familia yake kwa kuondokewa na mmoja wa wana familia yake, Bw. John Nyerere aliyefariki Jumamosi Mei 9,2015 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Pamoja na salamu hizi, Rais Kikwete ambaye yuko nchini Alrgeria kwa ziara ya kikazi, amefanya mawasiliano binafsi na Mama Maria na kumpa pole kwa kuondokewa na kijana wake.
“Hakuna mzazi anayependa kuondokewa na mwanae, ni kitu kigumu sana  kwa mzazi...

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Bilal aongoza waombeleza msiba wa John Nyerere

johnNa Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal jana aliongoza mamia ya waombolezaji wakiwamo viongozi wa vyama na Serikali kuaga mwili wa mtoto wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere, John Nyerere.
Mbali na Dk. Bilal viongozi wengine waliokuwapo ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mke wa Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete.
Akisoma wasifu wa marehemu, mdogo wake, Makongoro...

 

10 years ago

Vijimambo

MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE

 Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.
Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini  Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa Kapteni wa Jeshi la Wananchi  Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita.Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni  kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na  kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mramba azungumzia uchumi kwenye msiba wa John Nyerere

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba amesema kupungua kwa umaskini kunakoelezwa na baadhi ya wataalamu na wasomi ni suala la kitakwimu ambalo ni gumu kulithibitisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani