Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Bilal aongoza waombeleza msiba wa John Nyerere

johnNa Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal jana aliongoza mamia ya waombolezaji wakiwamo viongozi wa vyama na Serikali kuaga mwili wa mtoto wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere, John Nyerere.
Mbali na Dk. Bilal viongozi wengine waliokuwapo ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mke wa Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete.
Akisoma wasifu wa marehemu, mdogo wake, Makongoro...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU JOHN NYERERE DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu John Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2015. Marehemu John anatarajia kuzikwa keshokutwa nyumbani kwao ButiamaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo...

 

10 years ago

Vijimambo

MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE

 Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.
Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini  Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa Kapteni wa Jeshi la Wananchi  Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita.Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni  kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na  kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mramba azungumzia uchumi kwenye msiba wa John Nyerere

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba amesema kupungua kwa umaskini kunakoelezwa na baadhi ya wataalamu na wasomi ni suala la kitakwimu ambalo ni gumu kulithibitisha.

 

10 years ago

Michuzi

MZEE MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE

 Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita.
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya kumng'oa...

 

10 years ago

Dewji Blog

SHIWATA waombeleza kifo cha Capt. John Komba

KOMBA

Na Mwandishi wetu

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) unaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha Makamu Mwenyekiti wao, John Komba aliyefariki Jumamosi na kuzikwa jana nyumbani kwao kijiji cha Litui, Mbinga mkoa wa Ruvuma.

Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib katika salamu zake za rambirambi alisema mtandao huo umempoteza kiongozi mwadilifu aliyetumia kipaji chake cha usanii kuwaunganisha makundi ya wanamichezo,waigizaji, wasanii wa luninga, bongo movie,wacheza sarakasi na waandishi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aongoza waombolezaji msiba wa Maalim Muhidin Gurumo, Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014 . Picha na OMR

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani