MZEE MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE
![](http://2.bp.blogspot.com/-ooyqMiWhI8Y/VU9dNjQFTPI/AAAAAAAAbh0/RsBTxomdHeY/s72-c/1.jpg)
Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita.
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya kumng'oa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-ooyqMiWhI8Y/VU9dNjQFTPI/AAAAAAAAbh0/RsBTxomdHeY/s72-c/1.jpg)
MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE
![](http://2.bp.blogspot.com/-ooyqMiWhI8Y/VU9dNjQFTPI/AAAAAAAAbh0/RsBTxomdHeY/s640/1.jpg)
Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita.Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya...
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Komredi Kinana, Nape wahani msiba wa Jaji Mstaafu Lwangisa Bukoba mjini
![](http://2.bp.blogspot.com/-C_YMvbMTStA/VXKGm6eA9lI/AAAAAAAC5uY/uYdRxpQtksU/s640/6.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya Marehemu Jaji Mstaafu Samuel Luangisa nyumbani kwake kwa marehemu Kitendagulo, mjini Bukoba mkoani Kagera.Marehemu Luangisa ni miongoni mwa Waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti tofauti alikuwa mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi (Kagera),Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.
![](http://3.bp.blogspot.com/-bp67HkAnsKA/VXKGkWGuhqI/AAAAAAAC5uA/Qn4Sgt7DB5E/s640/5.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NefYiu42lUw/VYcyC2AKTkI/AAAAAAAHiPU/LpOGIUxkdUU/s72-c/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-NefYiu42lUw/VYcyC2AKTkI/AAAAAAAHiPU/LpOGIUxkdUU/s640/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi20 Oct
MANGULA, NAPE WAONGOZA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE YA VIJANA WA CCM VYUO VIKUU , LEO
![](https://4.bp.blogspot.com/-fw97RaT9AFw/VEPEYspA6JI/AAAAAAAArcU/BXTIr8SaAFo/s1600/1.%2BMangula%2B2.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-vDZ5KjwAfMY/VEO-KNkhgGI/AAAAAAAArbU/FVgQhcIv7oU/s1600/2.%2BNape.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Oct
Mangula, Nape waongoza kongamano la maadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ya vijana wa CCM vyuo vikuu leo
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akihutubia Jumuia ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu katika Kongamano la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, lililoandaliwa na Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu, kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, leo, Oktoba 19, 2014.
Katibu wa NEC, Irikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Mzee Mangula baada ya kuhutubia katika kongamano hilo. Kulia ni Katibu Mtendaji Mkuu wa CCM mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher...
10 years ago
Mtanzania12 May
Dk. Bilal aongoza waombeleza msiba wa John Nyerere
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal jana aliongoza mamia ya waombolezaji wakiwamo viongozi wa vyama na Serikali kuaga mwili wa mtoto wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere, John Nyerere.
Mbali na Dk. Bilal viongozi wengine waliokuwapo ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mke wa Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete.
Akisoma wasifu wa marehemu, mdogo wake, Makongoro...
10 years ago
Mwananchi12 May
Mramba azungumzia uchumi kwenye msiba wa John Nyerere
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/yLvRo7uABBM/default.jpg)
11 years ago
CloudsFM12 Aug
MEMBE,NAPE WAHANI MISIBA YA WALIOPATWA NA AJALI MTAMA NA KUTEMBELEA MAJERUHI
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 23 Said S. Mchora mkazi wa Masasi,Majengo. Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa...