Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Membe ahudhuria msiba wa Mzazi wa Felista Rugambwa

Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa heshima za mwisho kwenye Kanisa la Anlikana la Mt. Joseph, kumuaga Mzee Rugambwa ambaye ni baba wa mtumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Idara ya Ulaya na Marekani Bi. Felista Rugambwa Jumamosi Julai 5, 2014.  Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara John Haule na Mkurugenzi wa Idaho ya Ulaya na Marekani Balozi Joseph...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo...

 

11 years ago

Michuzi

MSIBA WA MAMA MZAZI WA DIWANI NACHINGWEA, WAZIRI CHIKAWE ASHIRIKI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) na waombolezaji wakiswalia mwili wa marehemu ambaye ni mama mzazi wa Diwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea,  Sada Makota. Mazishi ya Mama Mzazi wa Diwani huyo yamefanyika katika Kijiji cha Nangunde, Kata ya Namikango wilayani Nachingwea leo.

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kulia) akimfariji Diwani wa Halmashauri ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Bernard Membe ahani msiba wa marehemu Salmin Awadh Salmin mjini Unguja

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimpa mkono wa pole Bi. Mwaka Mohamed ambaye ni mjane wa aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), marehemu Salmin Awadh Salmin aliyefariki mapema Februari mwaka huu, wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwake, Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akitoa mkono kwa familia ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), marehemu Salmin Awadh...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI, DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zamwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika nawaomboilezaji wengine katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika na waomboilezaji wengine katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati...

 

11 years ago

GPL

LOWASSA AHUDHURIA MSIBA WA PATRICK QORRO

Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh Benjamin Mkapa akisalimiana an waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Mzee Patrick Qorro Ada estate jijini dar es salaam jana. ...akisalimiana na Profesa wa Chuo Kikuu DSM, Issa Shivji…

 

10 years ago

Vijimambo

DR WILBROAD SLAA AHUDHURIA MSIBA WA CAPTAIN JOHN KOMBA

Katibu mkuu wa CHADEMA DR Wilbroad Slaa akitia saini kitabu cha Wageni alipofika kuhudhuria msiba wa Kada Maaarufu wa CCM Ambaye Pia Mbunge wa Mbinga Magharibi Captain John Komba.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KIFO/MSIBA WA BABA MZAZI WA BEATRICE SINGANO

MAREHEMU MZEE WETU MOURICE NOEL SINGANO
MDAU WETU BEATRICE SINGANO  WA VAIRTEL AMEONDOKEWA/AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MPENDWA  MZEE MOURICE NOEL SINGANO, 
MZEE WETU  M.N. SINGANO ALIFARIKI JANA TAREHE 31/05/2014. NCHINI  INDIA - CHENNAI , MIPANGO YA MZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MTOTO WAKE MIKOCHENI B, DAR ES SALAAM.
KUFUATIA MSIBA HUO KUTAKUWA NA MISA MAALUM YA SIKU YA ALHAMISI KANISA LA MT. MARTHA MIKOCHENI DAR ES SALAAM.
MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 6/6/2014...

 

10 years ago

Michuzi

Updates za msiba wa mama mzazi wa wapiganaji Dotto na Kulwa Mwaibale

 Ankal akiwa na wapiganaji Dotto (shoto) na Kulwa Mwaibale wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu mama yao Mzazi hospitali ya Temeke jana. Habari zinasema wafiwa na mwili wa marehemu wamefika salama Mwankenja wilayani Rungwe  mkoani Mbeya ambako mazishi yanatarajiwa kufanyika leoWafiwa Dotto na Kulwa Mwaibale wakifarijiwa  na wapiganaji wenzao  kutoka kushoto Richard Mwaikenda, Eric Shigongo, Ankal, Benny Kisaka na Abdallah Mrisho waombolezaji msibani huko Mwankenja, Mbeya Kaburi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani