TAARIFA YA KIFO/MSIBA WA BABA MZAZI WA BEATRICE SINGANO
![](http://2.bp.blogspot.com/-rTV1PPu3cHM/U4rm9MIdYKI/AAAAAAAFm4U/DGvUydPD5TM/s72-c/IMG-20140601-WA0000.jpg)
MAREHEMU MZEE WETU MOURICE NOEL SINGANO
MDAU WETU BEATRICE SINGANO WA VAIRTEL AMEONDOKEWA/AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MPENDWA MZEE MOURICE NOEL SINGANO,
MZEE WETU M.N. SINGANO ALIFARIKI JANA TAREHE 31/05/2014. NCHINI INDIA - CHENNAI , MIPANGO YA MZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MTOTO WAKE MIKOCHENI B, DAR ES SALAAM.
KUFUATIA MSIBA HUO KUTAKUWA NA MISA MAALUM YA SIKU YA ALHAMISI KANISA LA MT. MARTHA MIKOCHENI DAR ES SALAAM.
MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 6/6/2014...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d4H21UlwdGQF5bRY6cl7LwU0ne3-RYuWLahkP8iNeqSGAZBEtLOEggN8t1EtehbJkEvEdthU1gWcRu5sdqL9QcN/NOEL.jpg)
TANZIA: BABA MZAZI WA MDAU BEATRICE SINGANO MALLYA AFARIKI
11 years ago
GPLMSIBA WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA LUDEWA MHE DEO FILIKUNKOMBE
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-e5Ej3RD5PYs/UzotxxsfpuI/AAAAAAAFXnw/TNu9uLxH_-s/s72-c/mama+halima.jpg)
TAARIFA YA MSIBA: MAMA MZAZI WA SAID MDOE WA SALUTI5 AFARIKI DUNIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-e5Ej3RD5PYs/UzotxxsfpuI/AAAAAAAFXnw/TNu9uLxH_-s/s1600/mama+halima.jpg)
Alipata homa kali Jumapili mchana, akapelekwa hospitali (IMTU) akapata matibabu na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Hali yake haikuwa mbaya wala ya kutia mashaka.
Jumatatu akaamka vizuri na akashinda vizuri hadi saa 12 za jioni hali ipoanza kubadilika tena. Akafariki akiwa njiani kupelekwa hospitali. Msiba uko Dar es Salaam, Mbezi Beach Old...
11 years ago
Michuzi04 Apr
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFUBYqpa*JOBR0zE-C7g-fAzMdyHetWbYVzSgiUZRomqU2nHqwruhZI5hKtKucQD3eZe5DKVIjjegKFHxUq2qmYR/ateseka.jpg)
ATESEKA KITANDANI MIAKA MITATU NI BAADA YA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA BABA YAKE
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Kumbe Dully alipata taarifa za kifo cha baba yake akijiandaa kupanda stejini kufanya shoo
Habari zinasema kuwa msanii wa Bongo Fleva,Dully Sykes alipata taarifa za msiba wa baba yake wakati akijiandaa kupanda stejini kwenye shoo moja iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii maeneo ya Mbezi Luis,jijini Dar.
11 years ago
Michuzi06 Jul
Waziri Membe ahudhuria msiba wa Mzazi wa Felista Rugambwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El*55dTy0MioSJoUxV9DIPODaG3zzFksfYJAQxJ6kcwfkqfLxoRLE-NCS9w7D7ZeH5KV4D6AQK*OeO5B54ByHIfu/Back.jpg?width=650)
BABA MZAZI KANIBAKA MIEZI 2
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-u4TxkF23Czw/VJFEwYy3YWI/AAAAAAAG3tM/xylSdPFxDCM/s72-c/unnamed%2B(53).jpg)
Updates za msiba wa mama mzazi wa wapiganaji Dotto na Kulwa Mwaibale
![](http://3.bp.blogspot.com/-u4TxkF23Czw/VJFEwYy3YWI/AAAAAAAG3tM/xylSdPFxDCM/s1600/unnamed%2B(53).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-pFSKpDo29ME/VJFEwtOBP3I/AAAAAAAG3tQ/xmFt9Lqw2d8/s1600/unnamed%2B(54).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-YckrdyF24ow/VJFHQ71AhOI/AAAAAAAG3to/s7p2EqAX1XE/s1600/unnamed%2B(61).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0wNVeGpbpgE/VJFHQp8Z47I/AAAAAAAG3tk/26QxlcdyCag/s1600/unnamed%2B(62).jpg)