Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABA MZAZI KANIBAKA MIEZI 2

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya/Risasi
BINTI mwenye umri wa miaka 12 aliyejitambulisha kwa jina moja la Irine, mkazi wa Mbagala-Charambe, Dar amesimulia tukio la kusikitisha akidai kubakwa na baba yake mzazi kwa muda wa takribani miezi miwili. Akilisimulia Risasi Jumamosi mkasa huo wa kusikitisha hivi karibuni nyumbani kwao maeneo hayo, binti huyo alisema kuwa baba yake aliyemtaja kwa jina moja la Israel alikuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Baba amnyonga mwanawe wa mwaka na miezi 7

Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed MsangiMTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba, Henry Juma, amenyongwa na baba yake mzazi hadi kufa na kisha mwili wake kulazwa kitandani na mtuhumiwa kutokomea kusikojulikana.

 

10 years ago

Habarileo

Baba afungia ndani watoto 4 miezi 10

MWANAMUME mmoja mkazi wa Kijiji cha Msimba wilayani Uvinza, Kigoma, anashikiliwa na Polisi akidaiwa kufungia watoto wake wanne ndani ya nyumba na kuwashindisha njaa kwa takribani miezi 10.

 

10 years ago

Bongo5

Chris Brown ni baba wa mtoto mwenye miezi 9!

Chris Brown ni baba. Kwa mujibu wa TMZ, muimbaji huyo wa R&B ana mtoto wa kike mwenye umri wa miezi tisa. Mama wa mtoto huyo ni model wa zamani mwenye miaka 31 aitwaye Nia, ambaye amemfahamu Chris kwa miaka mingi. Nia na Chris wanadaiwa kuwa na maelewano lakini hawana uhusiano. TMZ imedai kuwa Breezy anafurahia […]

 

10 years ago

GPL

BABA MZAZI AKESHA AKIBAKA WANAYE!

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha
USHETANI! Watoto wa kike wawili wenye umri wa miaka 8 na 14, wakazi wa Unga Limited jijini hapa, wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa Mount Meru baada ya kuharibiwa vibaya sehemu zao za siri kwa madai ya kulawitiwa na kubakwa na baba yao mzazi waliyemtaja kwa jina moja la Ezekiel, Uwazi linakupa zaidi. Watoto wanaodaiwa kubakwa na baba yao. Akizungumza na gazeti hili kwa tabu hospitalini hapo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Baba mzazi adaiwa kumchinja mwanaye

Baba mzazi na mkazi wa Kijiji cha Sima wilayani hapa mkoani Mwanza anadaiwa kumuua kikatili mwanaye Maneno Faida (4) kwa kumchinja koromeo na kumchoma kwa kisu kwenye kitovu na utumbo kutoka nje.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni akishukiwa mauaji ya baba mzazi

JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Issa Sadick (49), Mkazi wa Itongo tarafa ya Nshamba Wilaya ya Muleba kwa tuhuma za mauaji ya baba yake mzazi na mama yake wa...

 

11 years ago

Habarileo

Baba mzazi ampa ujauzito mwanawe

MKAZI wa Kijiji cha Bwekela wilayani Igunga mkoani Tabora, Kashinje Shima, anatafutwa na Uongozi wa kijiji hicho, kwa kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa mwenye umri wa miaka 17.

 

10 years ago

GPL

ESTER: BABA MZAZI ALINIKATAZA KUIGIZA

LEO hii kwenye Live Chumba cha Habari ya Global Publishers tunaye msanii chipukizi wa filamu za Kibongo, Ester Kiama ambaye pia ni mjasiriamali anayejishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo ya kuuza mkaa, pikipiki na magari. Msanii chipukizi wa filamu za Kibongo, Ester Kiama akisisitiza jambo. Katika mahojiano na safu hii huku akirekodiwa na timu nzima ya Global TV Online , Ester alisema hapendi… ...

 

10 years ago

Bongo5

P-Square waondokewa na baba yao mzazi Mr. Okoye

Miaka miwili baada ya kumpoteza mama yao mzazi, mapacha wa kundi la P-Square la Nigeria Peter na Paul pamoja na kaka yao Jude Okoye wamepatwa na msiba mwingine. Wameondokewa na baba yao Mr Okoye aliyefariki dunia Jumatatu Nov.24. Vyanzo vya karibu vimesema kuwa Mr. Okoye alidondoka akiwa anaelekea hospitali huko jijini Lagos. Inadaiwa kuwa siku […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani