BABA MZAZI AKESHA AKIBAKA WANAYE!
![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vAylIerRM6wM20WzEcb5RR-INZ5L9j-bnXhvHsWcBB8uCKPYN9OKVzzEOwPO*Qhk77l5FJWWxGF-LsPOxJI1EvY/BACKUWAZI.jpg)
Stori: Joseph Ngilisho, Arusha USHETANI! Watoto wa kike wawili wenye umri wa miaka 8 na 14, wakazi wa Unga Limited jijini hapa, wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa Mount Meru baada ya kuharibiwa vibaya sehemu zao za siri kwa madai ya kulawitiwa na kubakwa na baba yao mzazi waliyemtaja kwa jina moja la Ezekiel, Uwazi linakupa zaidi. Watoto wanaodaiwa kubakwa na baba yao. Akizungumza na gazeti hili kwa tabu hospitalini hapo,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-medxgJn-gJk/VVIc3MmxC8I/AAAAAAAASVM/_V_LgMkAGrY/s72-c/WATOTOKUBAKWA.jpg)
Baba Mzazi Akesha akiwabaka wanawe wawili wadogo.
![](http://api.ning.com/files/NjHDmKPq-vChglTSZWj-VcppttWZWJaxV8q6lPiP7nvVIW8E2EBfQ5aC8E4kZ7b8ba7DYCS43eMdBRQMLD8oFpR9sm4BB1dN/kamanda.jpg?width=650)
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, SACP Leberatus Sabas.KUBAKWA KUNAENDELEA!!Binti huyo alitoa ya moyoni kuhusu kisa chake hicho cha kubakwa na kulawitia kwa kusema:“Sijui ni nini?! Siku nyingine nikiwa na mdogo wangu tunayesoma naye shule, tuliitwa na babu mmoja anaitwa Elias. Tulikwenda hadi nyumbani kwake.“Tulipofika, babu alitupa chipsi na kula. Halafu alimwambia mwenzangu atoke nje na kuanza kunibaka mimi. Alipomaliza, alimuita mwenzangu, naye akambaka. Alikuwa akitupatia chipsi kisha...
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Baba mbaroni kwa kutesa wanaye
MATESO Hassan Mkazi wa Kijiji cha Karago, Kata ya Sunuka Wilaya ya Uvinza mkoani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuwafungia ndani watoto wake wanne...
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Baba awachoma moto wanaye, kisa samaki
Ester Lucas akiwa na majeraha ya moto mkononi.
NA VICTOR BARIETY, Uwazi
GEITA: Baba mzazi wa watoto wawili, Lucas Petro mwenye umri wa miaka 29, anatafutwa na polisi kwa kosa la kuwachoma moto watoto wake, Denis (5) na Ester Lucas, 3, (pichani) baada ya kuwatuhumu kuiba mboga aina ya samaki kwa jirani yao, tukio lililotokea katika Kijiji cha Msasa, Kata ya Busanda wilayani Geita, mwishoni mwa mwezi Novemba, mwaka huu.
Wakizungumza katika ofisi za mtendaji wa kata kijijini hapo, watoto hao...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PL9c3b9zeB-1C2aYW5kdkt1U**j0mvXDzqNEy59Z5Cf0KaTrtAvCQDkSavkv0kOpDdlnv7GDW*UJLr9ud55X5KR/MITITU.jpg?width=650)
MTITU AKESHA AKIMUOMBEA BABA YAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El*55dTy0MioSJoUxV9DIPODaG3zzFksfYJAQxJ6kcwfkqfLxoRLE-NCS9w7D7ZeH5KV4D6AQK*OeO5B54ByHIfu/Back.jpg?width=650)
BABA MZAZI KANIBAKA MIEZI 2
11 years ago
Habarileo08 Aug
Baba mzazi ampa ujauzito mwanawe
MKAZI wa Kijiji cha Bwekela wilayani Igunga mkoani Tabora, Kashinje Shima, anatafutwa na Uongozi wa kijiji hicho, kwa kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa mwenye umri wa miaka 17.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQRJCfu69yf4lwKDpYPQ-SpV*gLgRihahpgcE5Cw92SKmr9N2V0Ud0QTtL8U3OnVd4V5jDiUEd1LptFBkkhdc*5S/11.jpg)
ESTER: BABA MZAZI ALINIKATAZA KUIGIZA
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Mbaroni akishukiwa mauaji ya baba mzazi
JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Issa Sadick (49), Mkazi wa Itongo tarafa ya Nshamba Wilaya ya Muleba kwa tuhuma za mauaji ya baba yake mzazi na mama yake wa...
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Baba mzazi adaiwa kumchinja mwanaye