Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZIA: BABA MZAZI WA MDAU BEATRICE SINGANO MALLYA‏ AFARIKI

MAREHEMU MZEE WETU MOURICE NOEL SINGANO. MDAU WETU BEATRICE SINGANO  AMEONDOKEWA/AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MPENDWA  MZEE MOURICE NOEL SINGANO.
MZEE WETU  M.N. SINGANO ALIFARIKI JANA TAREHE 31/05/2014. NCHINI  INDIA - CHENNAI , MIPANGO YA MZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MTOTO WAKE MIKOCHENI B, DAR ES SALAAM.
KUFUATIA MSIBA HUO KUTAKUWA NA MISA MAALUM YA SIKU YA ALHAMISI KANISA LA MT. MARTHA MIKOCHENI DAR ES...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KIFO/MSIBA WA BABA MZAZI WA BEATRICE SINGANO

MAREHEMU MZEE WETU MOURICE NOEL SINGANO
MDAU WETU BEATRICE SINGANO  WA VAIRTEL AMEONDOKEWA/AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MPENDWA  MZEE MOURICE NOEL SINGANO, 
MZEE WETU  M.N. SINGANO ALIFARIKI JANA TAREHE 31/05/2014. NCHINI  INDIA - CHENNAI , MIPANGO YA MZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MTOTO WAKE MIKOCHENI B, DAR ES SALAAM.
KUFUATIA MSIBA HUO KUTAKUWA NA MISA MAALUM YA SIKU YA ALHAMISI KANISA LA MT. MARTHA MIKOCHENI DAR ES SALAAM.
MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 6/6/2014...

 

5 years ago

Michuzi

TANZIA: BABA MZAZI WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, GEORGE SIMBACHAWENE AFARIKI DUNIA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, wakati Mkuu huyo wa Jeshi alipoenda kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Waziri huyo, marehemu Boniface Simbachawene Mwataguluvala, Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, leo Aprili 17, 2020.  Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Zubery...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Mzee Sykes enzi za uhai wake. Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake. Baba…

 

5 years ago

Bongo5

Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na boda boda

Abedinego Damian aka Belle 9 amepata msiba mzito.

Baba yake mzazi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Meneja wake, Jahz Zamba, ameiambia Bongo5 kuwa Mzee Damian amefariki dunia baada ya kugongwa na boda boda iliyokuwa kwenye mwendo mkali huko mjini Morogoro alikokuwa anaishi.

Alivunja mguu mmoja pale pale na kujeruhiwa vibaya kabla ya kupelekwa hospitali. Dereva wa boda boda naye ameumia vibaya ikiwemo kuvunjika taya na kujeruhiwa kichwa. Jahz amesema baada ya Mzee Damian kupelekwa...

 

9 years ago

Bongo5

Tanzia: Bou Nako afiwa na baba yake mzazi

11939309_893375544110757_1924339186_n

Rapa wa kundi la Nako 2 Nako, Bou Nako amefiwa na baba yake mzazi aliyekuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu.

11939309_893375544110757_1924339186_n

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Bou Nako alisema mazishi yatafanyika kesho nyumbani kwao Bukoba.

“Nipo katika wakati mgumu lakini namuomba Mungu anipe wepesi. Kusema ukweli baba aliumwa sana kama miezi mitatu hivi na nadhani ni mapafu yalikuwa yanamsumbua,” amesema.

“Sasa hivi hapa Dar es Salaam tupo katika maandalizi ya kwenda Bukoba kwaajili ya...

 

9 years ago

GPL

TANZIA: MAMA MZAZI WA DOGO ASLAY AFARIKI DUNIA

Mama mzazi wa ‘Dogo Aslay’,  Moza Mohamed enzi za uhai wake. Mwimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ aliyefiwa na mama yake mzazi. Mama mzazi wa muimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed amefariki leo alfajiri katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam alimokuwa amelazwa. Akizungumza na mwandishi wetu, Meneja wa Yamoto Band, Said Fella...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: Mama mzazi wa katibu wa mbunge Al Shaimar Kweigyir afariki dunia leo Kibaha, Pwani

MAMA wa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalum  Mhe. Al Shaimar Kweigyir, Bw. Semeni Kingaru, anayeitwa Kibibi Haji Pembe, amefariki Dunia leo saa tano asubuhi akiwa na umri wa miaka 80.Semeni Kingaru kulia ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimar Kweigyir, akiwa na mama yake mzazi Bi Kibibi Haji enzi za uhai wake. Marehemu Kibibi Haji  amefariki Dunia leo asubuhi, wilayani Kibaha, mkoani Pwani.Mama huyo amefariki nyumbani kwake kijiji cha Misugusugu, wilayani Kibaha, mkoani Pwani,...

 

10 years ago

Vijimambo

BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani