RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI, DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zamwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika nawaomboilezaji wengine katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI JIJINI DAR
10 years ago
MichuziDKT. BILAL AMFARIJI JAJI MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MSAZI
5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
11 years ago
Tanzania Daima11 Sep
MC Mkongwe ampongeza Jaji Augustino Ramadhani
MSHEREHESHAJI maarufu nchini, MC Mackie G. Mdachi ‘MC Mkongwe’ amempongeza Mwanafani mwenzao Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Akizungumza...
5 years ago
Michuzi
JAJI AUGUSTINO RAMADHANI KUAGWA KITAIFA KESHO

Mwili wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Augustino Ramadhani unatarajiwa kuagwa rasmi kitaifa kesho Ijumaa Mei Mosi, mwaka huu katika viwanja vya Karimjee, na mazishi yatafanyika Mei 2 Kimara jijini Dar es salaam.
Kiongozi huyo ataagwa Kitaifa kwa mujibu wa Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa ya mwaka 2006.Taarifa iliyotolewa leo na Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Kelvin Mhina ilieleza kwamba taratibu zote za mazishi na maandalizi zinafanywa na kusimamiwa na...
10 years ago
VijimamboRAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.
5 years ago
CCM Blog
JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KUZIKWA JUMAMOSI

5 years ago
Michuzi
NEWZ ALERT :JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN
