Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI AUGUSTINO RAMADHANI KUAGWA KITAIFA KESHO




Mwili wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Augustino Ramadhani unatarajiwa kuagwa rasmi kitaifa kesho Ijumaa Mei Mosi, mwaka huu katika viwanja vya Karimjee, na mazishi yatafanyika Mei 2 Kimara jijini Dar es salaam.

Kiongozi huyo ataagwa Kitaifa kwa mujibu wa Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa ya mwaka 2006.Taarifa iliyotolewa leo na Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Kelvin Mhina ilieleza kwamba taratibu zote za mazishi na maandalizi zinafanywa na kusimamiwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

MC Mkongwe ampongeza Jaji Augustino Ramadhani

MSHEREHESHAJI maarufu nchini, MC Mackie G. Mdachi ‘MC Mkongwe’ amempongeza Mwanafani mwenzao Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Akizungumza...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT :JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Augustino Ramadhani amefariki Dunia leo saa mbili Asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

 

5 years ago

CCM Blog

JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KUZIKWA JUMAMOSI

  Maziko ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhan yanatarajiwa kufanyika Jumamosi hii Kimara King'ong'o  baada ya mwili wake kuagwa nyumbani kwake Oysterbay na kisha kwenye Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

Historia Fupi ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani



Na Alban AbdallahKwa masikitiko makubwa sana, tumepata taarifa ya msiba wa Kaka wa makaka, Retired Chief Justice, Brigadier general, the most famous Zanzibarian Christian in the Tanzanian Government History, Reverend Cannon, father, son, friend, and national hero, Augustino Ramadhani. Tunataka kutowa pole kwa mkewe, wanawe, wajukuu, na family ya Ramadhani nzima. This is a monumental loss. 
Kwa niaba ya familia yangu, nataka kumzungumzia Justice Augustino Ramadhani kama nilivomfahamu mimi....

 

11 years ago

GPL

JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AWATAKA WAJUMBE KUJADILI RASIMU KWA MAKINI‏

Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba mpya ya kipekee, Mjadala ulioandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali ya The  Open Society Initiative For  Eastern African Tanzania (OSIEA). Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mjadala huo, Profesa Chris Maina, pamoja na Mhadhiri wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani ajitosa kuwania urais kwa tiketi ya CCM

Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.

 

11 years ago

Michuzi

JAJI MKUU MSTAAFU MHE. AUGUSTINO RAMADHANI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ADDIS ABABA

Jaji Mkuu Mstaafu, Mhe. Augustino Ramadhani (wa pili kutoka kushoto) akiwa na Mhe. Naimi Aziz, (wa pili kulia) Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia. Wa kwanza kushoto ni Bw. Nsavike Ndatta, Afisa Mambo ya Nje Mkuu wa Ubalozi, na wa kwanza kulia ni Bw. Eutace Lubuva, Afisa Mambo ya Nje Mkuu wa Ubalozi. Jaji Mstaafu Mhe. Augustino Ramadhani, amealikwa kutoa mada katika mkutano wa Umoja wa Afrika wa wataalam wa Sheria unaofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia. 

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika na waomboilezaji wengine katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani