Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika na waomboilezaji wengine katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI, DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zamwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika nawaomboilezaji wengine katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AMFARIJI JAJI MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MSAZI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisaini kitabu cha kumbukukmbu kufuatia kifo cha mama mzazi wa Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani nyumbani kwake Kimara leo Februar 06, 2015 alipofika kwa ajili ya kumfariji. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwafariji wana familia ya Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani alipomtembelea nyumbani kwake Kimara leo Februar 06, 2015, kutokana na kufiwa na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

MC Mkongwe ampongeza Jaji Augustino Ramadhani

MSHEREHESHAJI maarufu nchini, MC Mackie G. Mdachi ‘MC Mkongwe’ amempongeza Mwanafani mwenzao Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Akizungumza...

 

5 years ago

Michuzi

JAJI AUGUSTINO RAMADHANI KUAGWA KITAIFA KESHO




Mwili wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Augustino Ramadhani unatarajiwa kuagwa rasmi kitaifa kesho Ijumaa Mei Mosi, mwaka huu katika viwanja vya Karimjee, na mazishi yatafanyika Mei 2 Kimara jijini Dar es salaam.

Kiongozi huyo ataagwa Kitaifa kwa mujibu wa Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa ya mwaka 2006.Taarifa iliyotolewa leo na Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Kelvin Mhina ilieleza kwamba taratibu zote za mazishi na maandalizi zinafanywa na kusimamiwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.

  Kulia ni Kulwa na kushoto ni Dotto Mwaibale wakiwa na sura za Majonzi wakati wa Ibada fupi ya Kumuombea Mama yao Mpendwa kabla ya kuanza Safari ya kwenda Mbeya Wa kwanza Kulia ni Mdogo wao wa Mwisho wa Akina Mwaibale Ambwene  na wa pili kutoka kulia ni Dada yao Mkubwa wa akina Mwaibale  Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti  Shughuli za Vijana Taifa  Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumumama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa kuombewa,...

 

5 years ago

Michuzi

Historia Fupi ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani



Na Alban AbdallahKwa masikitiko makubwa sana, tumepata taarifa ya msiba wa Kaka wa makaka, Retired Chief Justice, Brigadier general, the most famous Zanzibarian Christian in the Tanzanian Government History, Reverend Cannon, father, son, friend, and national hero, Augustino Ramadhani. Tunataka kutowa pole kwa mkewe, wanawe, wajukuu, na family ya Ramadhani nzima. This is a monumental loss. 
Kwa niaba ya familia yangu, nataka kumzungumzia Justice Augustino Ramadhani kama nilivomfahamu mimi....

 

5 years ago

CCM Blog

JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KUZIKWA JUMAMOSI

  Maziko ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhan yanatarajiwa kufanyika Jumamosi hii Kimara King'ong'o  baada ya mwili wake kuagwa nyumbani kwake Oysterbay na kisha kwenye Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani