Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani ajitosa kuwania urais kwa tiketi ya CCM
![](http://3.bp.blogspot.com/-clrAYOLSQ-Y/VYGxE3ZxKNI/AAAAAAAAv3w/aGPhKPNvSCI/s72-c/ere.jpg)
Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-e0d8fddpW1Y/Xq1RDZcZbYI/AAAAAAALo1Q/RXet2-3e9YYExqZbVWuaf2_P6BeA0N7FQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-02%2Bat%2B13.52.15.jpeg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-_ZJOiM3AL7c/XqpnNtb0R5I/AAAAAAAA_s4/ydYuZNhiHtggsRlU5IUbutoRptrnzSfHQCNcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp-Image-2020-04-27-at-23.55.36-571x400.jpeg)
JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KUZIKWA JUMAMOSI
![](https://1.bp.blogspot.com/-_ZJOiM3AL7c/XqpnNtb0R5I/AAAAAAAA_s4/ydYuZNhiHtggsRlU5IUbutoRptrnzSfHQCNcBGAsYHQ/s400/WhatsApp-Image-2020-04-27-at-23.55.36-571x400.jpeg)
5 years ago
MichuziHistoria Fupi ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani
Na Alban AbdallahKwa masikitiko makubwa sana, tumepata taarifa ya msiba wa Kaka wa makaka, Retired Chief Justice, Brigadier general, the most famous Zanzibarian Christian in the Tanzanian Government History, Reverend Cannon, father, son, friend, and national hero, Augustino Ramadhani. Tunataka kutowa pole kwa mkewe, wanawe, wajukuu, na family ya Ramadhani nzima. This is a monumental loss.
Kwa niaba ya familia yangu, nataka kumzungumzia Justice Augustino Ramadhani kama nilivomfahamu mimi....
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-v5j-7pZP6so/U2qV-MIkhNI/AAAAAAAFgJo/kX6coMRYZcw/s72-c/unnamed+(4).jpg)
JAJI MKUU MSTAAFU MHE. AUGUSTINO RAMADHANI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ADDIS ABABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-v5j-7pZP6so/U2qV-MIkhNI/AAAAAAAFgJo/kX6coMRYZcw/s1600/unnamed+(4).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZCRA-tSzyHY/XqfsTTx1ShI/AAAAAAALocY/44P8byYuKoQfgHLnuvFZ7PDHkcizN4VtgCLcBGAsYHQ/s72-c/47410160_303.jpg)
10 years ago
MichuziDKT. BILAL AMFARIJI JAJI MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MSAZI
10 years ago
Mwananchi03 May
UCHAGUZI CCM 2015: Agustino Ramadhani Jaji Mkuu mstaafu
>Jaji Augustino Ramadhani alizaliwa Desemba 28, 1945 mjini Unguja, Zanzibar akiwa mtoto wa pili kati ya wanane waliozaliwa kwa wazazi wake. Baba yake ni Mathew Douglas Ramadhani, raia wa Zanzibar aliyefariki dunia mwaka 1962.
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-DMpKmfWREik/Uz6dFZclmDI/AAAAAAAA4Wg/S6d-Z3ozK6M/s1600/OSIEA+1B.jpg)
JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AWATAKA WAJUMBE KUJADILI RASIMU KWA MAKINI
Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba mpya ya kipekee, Mjadala ulioandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali ya The Open Society Initiative For Eastern African Tanzania (OSIEA). Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mjadala huo, Profesa Chris Maina, pamoja na Mhadhiri wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-yhhd3_k0tSk/VX5rHFEVBLI/AAAAAAAAvww/Cn717LOxw2c/s72-c/migiro.png)
Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-yhhd3_k0tSk/VX5rHFEVBLI/AAAAAAAAvww/Cn717LOxw2c/s640/migiro.png)
![](http://beacon.walmart.com/vm/ttap.gif?id=10694486&channel=WALMART&network=sraxopen_vhct&creative=SAL&destination=MICROSITE&size=728x90&idea=MOM&type=FLASH&device=DESKTOP)
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania