Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI MKUU MSTAAFU MHE. AUGUSTINO RAMADHANI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ADDIS ABABA

Jaji Mkuu Mstaafu, Mhe. Augustino Ramadhani (wa pili kutoka kushoto) akiwa na Mhe. Naimi Aziz, (wa pili kulia) Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia. Wa kwanza kushoto ni Bw. Nsavike Ndatta, Afisa Mambo ya Nje Mkuu wa Ubalozi, na wa kwanza kulia ni Bw. Eutace Lubuva, Afisa Mambo ya Nje Mkuu wa Ubalozi. Jaji Mstaafu Mhe. Augustino Ramadhani, amealikwa kutoa mada katika mkutano wa Umoja wa Afrika wa wataalam wa Sheria unaofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia. 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Historia Fupi ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani



Na Alban AbdallahKwa masikitiko makubwa sana, tumepata taarifa ya msiba wa Kaka wa makaka, Retired Chief Justice, Brigadier general, the most famous Zanzibarian Christian in the Tanzanian Government History, Reverend Cannon, father, son, friend, and national hero, Augustino Ramadhani. Tunataka kutowa pole kwa mkewe, wanawe, wajukuu, na family ya Ramadhani nzima. This is a monumental loss. 
Kwa niaba ya familia yangu, nataka kumzungumzia Justice Augustino Ramadhani kama nilivomfahamu mimi....

 

5 years ago

CCM Blog

JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KUZIKWA JUMAMOSI

  Maziko ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhan yanatarajiwa kufanyika Jumamosi hii Kimara King'ong'o  baada ya mwili wake kuagwa nyumbani kwake Oysterbay na kisha kwenye Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani ajitosa kuwania urais kwa tiketi ya CCM

Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA MHE MOHAMED CHANDE OTHMAN ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON DC

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC, Marekani, na kufanya mazungumzo na wafanyakazi wa Ubalozi huo Ubalozini hapo Tanzania House. Katika mazungumzo yake hayo, Mhe. Chande, ambaye yuko Marekani katika ziara ya kikazi na ujumbe wake,  aliwaeleza watumishi wa Ubalozi namna mihimili mitatu ya dola inavyofanya kazi pamoja na mipaka yake. Alibainisha kwamba Tanzania inajivunia mahusiano mazuri yaliyopo baina...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHMAN ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA ZAMBIA



MHE. JAJI MOHAMED CHANDE OTHMAN AKIWA NA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE. GRACE J. MUJUMA 
MHE JAJI MKUU AKIONGEA NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA WAKIWEMO MHE BALOZI GRACE J. MUJUMA, KAIMU MKUU WA UTAWALA NA KONSULA RICHARD LUPEMBE (HAYUPO PICHANI) NA MWAMBATA FEDHA HUDDY KIANGI WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI JAJI MKUU AKIELEZA JAMBO 

JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN ALIKUWA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI ZAMBIA KUANZIA TAREHE 2 HADI 6 MEI 2015 KWA...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN, JAJI MKUU WA TANZANIA ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WASHINGTON DC 19/11/2014

Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa  Tanzania ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC na kufanya mazungumzo na wafanyakazi wa Ubalozi huo Ubalozini hapo Tanzania House. Katika mazungumzo yake hayo, Mhe. Chande aliwaeleza watumishi wa Ubalozi namna mihimili mitatu ya dola inavyofanya kazi pamoja na mipaka yake. Alibainisha kwamba Tanzania inajivunia mahusiano mazuri yaliyopo baina ya mihimili hiyo ambayo kutokana na misingi thabiti imekuwa ikifanya...

 

11 years ago

Michuzi

MHE. TEDROS ADHENOM, WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA ETHIOPIA ATEMBELEA KAMBI YA WANARIADHA WA TANZANIA ADDIS ABABA

Mhe. Dr. Tedros Adhenom, wa tatu kutoka kulia akiwa na wanaridha wa Watanzania wa mbio ndefu waliotia kambi mjini Addis Ababa. Wa pili kulia ni Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, wa Kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia, Mhe. Balozi Solomon. Na wengine wailiokaa ni Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Michezo ya Ethiopia. Mhe. Dr. Tedros aliwaasa wanariadha hao na kuwataka wafanye vizuri katika mashindano ya Madola yatakayofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani