MSIBA WA MAMA MZAZI WA DIWANI NACHINGWEA, WAZIRI CHIKAWE ASHIRIKI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) na waombolezaji wakiswalia mwili wa marehemu ambaye ni mama mzazi wa Diwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Sada Makota. Mazishi ya Mama Mzazi wa Diwani huyo yamefanyika katika Kijiji cha Nangunde, Kata ya Namikango wilayani Nachingwea leo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU JIMBONI KWAKE NACHINGWEA LEO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto), akipokea Mwenge wa Uhuru katika Kijiji cha Chiola, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi baada ya Mwenge huo kumaliza kukimbizwa katika Wilaya Ruangwa. Mwenge huo wa Uhuru ambao mwaka huu 2014 umebeba ujumbe usemao “Katiba ni Sheria Kuu ya Nchi, Jitokeze Kupiga Kura ya Maoni tupate Katiba mpya” utakimbizwa katika Wilaya ya Nachingwea ambapo miradi mbalimbali ya maendeleo...
11 years ago
MichuziMH. CHIKAWE AWAMWAGIA MISAADA MAMA LISHE MJINI NACHINGWEA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akimpa msaada wa boksi lenye vyombo mbalimbali Mama Lishe wa Soko Kuu mjini Nachingwea mkoani Lindi leo. Mama Lishe hao zaidi ya 120, kila mmoja alipewa boksi ambalo ndani yake kuna Chupa ya Chai, Sahani, Vijiko, Birika, Umma pamoja na Vikombe vikubwa vya maji. Mama Lishe hao walishukuru misaada hiyo ambayo itawasaidia katika biashara yao. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa...
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AZINDUA MNARA WA TTCL NACHINGWEA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa Kampuni ya Simu ya TTCL katika Kata ya Kiegei, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Sherehe za uzinduzi huo zilifanyika katika Kijiji cha Kiegei leo, ambapo viongozi wa Mkoa, Wilaya pamoja na mamia ya wananchi kutoka vijiji vilivyonufaika na mtandao huo wa mawasiliano vya Kiegei A, B, Namatunu, Nanjihi, Kilimarondo, Mbondo, Nahimba na...
11 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AMALIZA ZIARA YAKE JIMBONI NACHINGWEA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akipokelewa kwa shangwe na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Kipara-Mtua, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi kabla ya kuzungumza nao kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo na kujua kero mbalimbali zinazowakabili viongozi hao. Aidha, Waziri Chikawe aliwataka viongozi hao kuwa na umoja ili kukipa nguvu chama chao hasa katika kipindi hiki wanapoelekea katika uchaguzi wa Serikali...
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 22 KKKT NACHINGWEA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akifungua zoezi la uchangiaji wa harambee ya kupatikana kwa shilingi milioni 100 kwa ajili ya ununuzi wa gari la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Jimbo la Kaskazini-Magharibi linalojumlisha Wilaya ya Nachingwea, Ruangwa na Liwale mkoani Lindi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Regina Chonjo, anayefuata ni Katibu Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Kusini –Mashariki, Jane Mkimbo....
11 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AFUTURISHA WATOTO YATIMA JIMBONI KWAKE NACHINGWEA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe, akifurahi na Watoto Yatima na Waishio katika Mazingira Hatarishi wa Kituo cha Nawoda mjini Nachingwea mkoani Lindi kabla ya kufuturu nao futari maalum aliyoiandaa kwa ajili ya watoto hao zaidi ya 80 ambao wanalelewa katika kituo hicho. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto), akijiandaa kufuturu na Watoto Yatima na Waishio katika...
10 years ago
MichuziWAZIRI SIMBA AMSIMIKA CHIKAWE KUWA MLEZI UWT NACHINGWEA
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (kushoto) akimsimika kwa kumkabidhi fimbo ya ulezi baada ya kumvalisha joho, kofia na skafu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, mkoani Lindi, Mathias Chikawe, kuwa mlezi wa UWT katika wilaya yake ya Nachingwea. Sherehe hiyo iliyohudhuriwa na mamia ya wanachama wa UWT, ilifanyika katika Ukumbi wa NR mjini Nachingwea leo. Wapili...
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Simulizi ya diwani aliyekeketwa na mama yake mzazi
>Alikuwa ni mtoto wa ngariba. Mama yake mzazi alikuwa kinara wa kuwafanyia tohara watoto wa kike kijijini hapo. Hapa anasimulia kisa na mkasa wa ukeketaji huo na madhara yake kwa jamii.
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AWAPA SOMO MAKATIBU KATA CCM NACHINGWEA, MKOANI LINDI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Makatibu Kata wa CCM, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi leo. Katika mazungumzo hayo yaliyojumuisha Makatibu Kata zaidi ya 30, Waziri Chikawe aliwataka viongozi hao kuhakikisha wanazunguka katika kata zao kuhakikisha wanawahamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya maandalizi ya kuipigia kura Katiba inayopendekezwa pamoja na Uchaguzi Mkuu wa Rais,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania