BASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA

Basi la Musoma Express lenye namba za usajili T138 BDQ lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Musoma limepata ajali majira ya saa 4 usiku katika kijiji cha usanda shinyanga vijijini .
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.
Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
wakizungumza na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI WAMI
10 years ago
GPL
BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI MSATA
11 years ago
Michuzi
BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI


11 years ago
GPL
BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO SIKU YA JANA
11 years ago
Vijimambo10 Oct
BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO ALHAMISI OCT 9, 2014



(PICHA NA MTANDAO)
10 years ago
Vijimambo
BREAKING NEWS: BASI LA SIMIYU LILILOKUWA LINATOKEA MWANZA KWENDA DAR LAPATA AJALI MKOANI DODOMA

10 years ago
Michuzi
NEWZZ ALERT;MTU MMOJA APOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA BASI LA JORDAN KUPINDUKA NZEGA,LIKITOKEA JIJINI MWANZA KWENDA ARUSHA.

Mtu mmoja amefariki dunia huku wengine 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lenye usajili wa namba T 650 AQZ lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda mkoani Arusha na kupinduka leo wilayani Nzega,Tabora.Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.


11 years ago
GPL
BASI LA HOOD TOKA ARUSHA KWENDA IRINGA LAPATA AJALI
10 years ago
GPL
BASI LA ARUSHA EXPRESS LAPATA AJALI ARUSHA