Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO ALHAMISI OCT 9, 2014


Wananchi wakiwa eneo la tukio muda mfupi baada ya basi la Dar Express kupata ajali.
Muonekano wa basi la Dar Express lenye namba za usajili T640 AXL linalofanya safari zake Kati ya Dar na Rombo baada ya kupata ajali jana jioni eneo la Marangu, Mamba mkoani Kilimanjaro.

(PICHA NA MTANDAO)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO SIKU YA JANA

Muonekano wa basi la Dar Express lenye namba za usajili T640 AXL linalofanya safari zake Kati ya Dar na Rombo baada ya kupata ajali jana jioni eneo la Marangu, Mamba mkoani Kilimanjaro .…

 

11 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI WAMI

Zaidi ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar express lililokuwa linatoka Dar Es Salaam kwenda Nairobi kupinduka eneo la Msata karibu na daraja la Wami. Chanzo ni kupasuka kwa tairi la mbele la kushoto la basi hilo. Chanzo: Radio One Stereo

 

10 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI MSATA

ZAIDI ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar Express lililokuwa linatoka Dar kwenda Nairobi kupasuka tairi la mbele kushoto kisha kupinduka katika eneo la Msata karibu na daraja la Wami mkoani Pwani leo.

 

11 years ago

Michuzi

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI


Bari mali ya kampuni ya Dar Express iliyokua ikitokea jijini Dar na kuelekea Jijini Nairobi,Nchini Kenya limepata ajali mapema leo asubuhi katika eneo la kijiji cha jirani na Mto Wami.Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana. Abiria wengi wamenusurika na kufanikiwa kutoka,japo kuna wachache ambao wamejeruhiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

BASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA

 Basi la Musoma Express lenye namba za usajili T138 BDQ lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Musoma limepata ajali majira ya saa 4 usiku  katika kijiji cha usanda shinyanga vijijini .
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.

Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume  mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
 wakizungumza na...

 

10 years ago

GPL

BASI LA ARUSHA EXPRESS LAPATA AJALI ARUSHA

Basi la Arusha Express baada ya kupata ajali. Taswira kutoka eneo hilo la ajali. BASI la Arusha Express limepata ajali leo maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha wakati likijaribu kulipita gari ligine na kukutana na lori mbele…

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: BASI LA SIMIYU LILILOKUWA LINATOKEA MWANZA KWENDA DAR LAPATA AJALI MKOANI DODOMA

Taarifa za mwanzo kutoka mkoani Dodoma zinasema kuwa Basi la Simiyu Expresslimepata ajali eneo la Chalinze - Mbande mkoani Dodoma na zaidi ya Abiria takribani 20 wamefariki dunia usiku huu, huku zaidi ya abiria zaidi ya 40 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya SIMIYU EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana kuwahi kutokea mkoani Dodoma, hadi hivi sasa...

 

10 years ago

Habarileo

Basi la Osaka lapata ajali, mmoja ajeruhiwa

David Misime.ABIRIA 57 wa basi la Osaka lililokuwa linatoka Bukoba kwenda Dar es Salaam wamenusurika kifo baada ya basi hilo kugonga tela la lori lililokuwa limeegeshwa kutokana na kuwa bovu na kutumbukia mtaroni.

 

10 years ago

GPL

BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI MBEYA

Basi la Happy Nation maarufu kama Balotelli mtukutu lenye namba za usajili T 281 ARR likiwa limepata ajali maeneo ya Igurusi, Mbeya.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani