BREAKING NEWS: BASI LA SIMIYU LILILOKUWA LINATOKEA MWANZA KWENDA DAR LAPATA AJALI MKOANI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-s0QqgCPNbIE/Va_kJ2rQoKI/AAAAAAABSfM/pRzSF9nVNwI/s72-c/photo_2015-07-22_21-38-46.jpg)
Taarifa za mwanzo kutoka mkoani Dodoma zinasema kuwa Basi la Simiyu Expresslimepata ajali eneo la Chalinze - Mbande mkoani Dodoma na zaidi ya Abiria takribani 20 wamefariki dunia usiku huu, huku zaidi ya abiria zaidi ya 40 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya SIMIYU EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana kuwahi kutokea mkoani Dodoma, hadi hivi sasa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Breaking News: Basi la Luwinzo lapata ajali Mufindi
Ajali ilivyotokea mapema leo asubuhi.
Shughuli za kuwaokoa walionusurika na ajali.
AJALI mbaya imetokea leo asubuhi baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Njombe, kugongana na lori wakati basi hilo likiwa linatoka Njombe kuelekea Dar es Salaam na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Ajali imetokea katika eneo la Kinegembasi, Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi mkoani Njombe.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-JCeElB2m2-o/U2o9nFb7EjI/AAAAAAAFgIg/5y9GqXYnS48/s72-c/IMG-20140507-WA0011.jpg)
BREAKING NYUZZZ: BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI JIONI HII ENEO LA MIKUMI MKOANI MOROGORO
![](http://1.bp.blogspot.com/-JCeElB2m2-o/U2o9nFb7EjI/AAAAAAAFgIg/5y9GqXYnS48/s1600/IMG-20140507-WA0011.jpg)
TAARIFA KAMILI ITAWAJIA BAADAE KIDOGO.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-EsajbnapHXU/VnQHVEi-rhI/AAAAAAAINQA/h7Ni-gkVMI8/s72-c/IMG-20151218-WA0132.jpg)
NEWS ALERT: BASI LA KAMPUNI YA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA MKOANI IRINGA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-EsajbnapHXU/VnQHVEi-rhI/AAAAAAAINQA/h7Ni-gkVMI8/s640/IMG-20151218-WA0132.jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,Peter Kakamba amethibitisha watu 12 kupoteza maisha katika ajali hiyo. Wanane ni wanae na wanne ni wanawake. Abiria 28 wamejeruhiwa wakiwemo madereva wa basi la lori na hali zao siyo nzuri.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa nane alasiri ambapo basi la...
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
Basi la AM Coach lapata ajali Simiyu na kujeruhi watatu
Na Mwandishi wetu
Watu watatu wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya Basi la AM Coach iliyotokea katika kijiji cha Sayusayu wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu na kukimbizwa katika Hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza kwa matibabu zaidi.
Abiria hao ni miongoni mwa abiria 54 waliokuwa katika Basi hilo lenye namba za Usajiri T607 AQN lililokuwa likitoka wilayani Meatu mkoani Simiyu kuelekea Jijini Mwanza.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Simiyu,Charles Mkumbo akiongea na Waandishi wa habari mjini...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-CSvqWNnkoJg/VHCK9-cxGaI/AAAAAAAAEvU/-e1VFarx8rw/s72-c/MUSOMA%2BEXPRESS.jpg)
BASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-CSvqWNnkoJg/VHCK9-cxGaI/AAAAAAAAEvU/-e1VFarx8rw/s1600/MUSOMA%2BEXPRESS.jpg)
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.
Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
wakizungumza na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u0Eb4l7A4EXhwi79luTejXckVakGjYSgw6ZDSoOiyGBwghtm6538sJHYAgCbXUeIgzSDCAmzXBqRyuRGxWCmdy*iKqtYRyTW/IMG20140826WA00171.jpg)
BASI LA HOOD TOKA ARUSHA KWENDA IRINGA LAPATA AJALI
10 years ago
GPLBASI LA PRINCES MUNAA LAPATA AJALI DODOMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJAMiXspl92E9XXph5bdRL*5U13L3sujBF-HkVh9Dk3m-Z-wK2g5gRs8Iu0sdsVvGldei3WhPyPo9vZl3rR0q7ib/1ajali2.jpg)
BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI MIKUMI MKOANI MORO
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-cGo6tZ2Pjx0/U75Oi6usarI/AAAAAAAF0b0/u1pMXJPCeAM/s72-c/0e181b0c2373127091efa71e90b76a5b.jpg)
basi la amani lapata ajali maeneo ya salanda mkoani tabora, mtoto mmoja afariki dunia
![](http://4.bp.blogspot.com/-cGo6tZ2Pjx0/U75Oi6usarI/AAAAAAAF0b0/u1pMXJPCeAM/s1600/0e181b0c2373127091efa71e90b76a5b.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-aeQujKkzX2k/U75OiVqolsI/AAAAAAAF0bo/GMrp1GiZGG4/s1600/02882a9c9d41a00666fe4ed394af84cc.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-h7G-T9q1rPI/U75Oi_x4OAI/AAAAAAAF0bs/OyMTnXPua5I/s1600/6899959f0968195d98ac10d9fea7d3da.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-edeMEgxlOfc/U75OkY_PM1I/AAAAAAAF0b4/WcN2WY7uezc/s1600/acd0b12d117431f12389153f5e5d5207.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JHIHHBt42YI/U75OlD2nptI/AAAAAAAF0cI/FYlV4XJTJjI/s1600/d7f7190b8f9412af2688c736446d16cd.jpg)